Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

jamani sasa hii hatare .... ''Kunya Land! wanatafuta umaarufu waachaeni!
 
Na sisi tukomae nao kwamba ni mataperi kupindukia. Usijaribu kufanya nao urafiki
 
Kwanza hao sio wa kusubiri wao wasema hawaji kwetu hao ni kutoa Guidelines zitakazowapa ugumu sana kuingia nchini kwetu, those people are scammers we can let them in easily, Nigeria wamejaa sana Bongo and nothing are doing but coining ladies, I have spotted them several and badly they dont have even resident permit, I urge authorities to start special operation of phasing out these nigerians
 
Na wasije tu, matapeli wa dunia hao.
Kwanza wao ndio wanatuhitaji kuliko sisi tunavyo wahitaji...mmxxxuuuuu zao
 
View attachment 2191594
Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni takataka wasiyo natofauti na nguruwe. Mjadala huo unaendelea na kupamba moto na raia hao Wanaijeria wameapa kutokuja Tanzania kutokana na kukithiri kwa utetezi wa matukio ya ubakaji.
Naomba uwaulize, wamemaliza msiba wa Osinachi?
 
Am Nigerian living tanzania , as you know so many Nigerian don't have a job so we use our skills whatever possible to survive anywhere, you pls must forgive us for the way we treat cheat scam and con others African fellow,we are very sorry for that....!
#GREAT_POPOS
 
Na wanaijeria waliotapakaa hapa nchini wafurushwe warudi kwao.

Watuache na ujinga wetu.
Kuna watanzania wangapi Nigeria?
Yani mnaanza kubaguana wenyewe kwa wenyewe mkibaguliwa na mwarabu mtalalamika?
 
LOLA70.... Mbakaji anaombwa Condom na yeye anaenda kuchukua?? Halafu anarudi na Condom anamkosa mbakwaji anaamua kuiba pesa, hebu acha kutuchekesha sie,

Kwanza unazijua hotel za Zanzibar wewe, Milango yao unaijua vizuri na ukumbuke ile ni 4 star hotel, huyo Mbakaji aliingia vipi mbona hajasema aliingia vipi na alitoka vipi wakati mbakwaji anasema alifunga Mlango.
 
LOLA70.... Mbakaji anaombwa Condom na yeye anaenda kuchukua?? Halafu anarudi na Condom anamkosa mbakwaji anaamua kuiba pesa, hebu acha kutuchekesha sie,

Kwanza unazijua hotel za Zanzibar wewe, Milango yao unaijua vizuri na ukumbuke ile ni 4 star hotel, huyo Mbakaji aliingia vipi mbona hajasema aliingia vipi na alitoka vipi wakati mbakwaji anasema alifunga Mlango.
Demu mdangaji yule. Mwizi tu
 
KUNA MASWALI MENGI YA KUJIULIZA KULIKO MAJIBU


a) Tukio lilitokea mwaka jana kwanini habari iripotiwe leo?
b) Kwanini habari hii iripotiwe wakati mmoja na uzinduzi wa Royal Tour Tanzania na Rais Samia huko Marekani?
c) Tukio moja hotelini huko Zanzibar kwanini unasema Wanigeria na watalii wasiende Zanzibar/Tanzania yote?
d) Kwanini unawaita wanaume wa Tanzania ni nguruwe wabakaji kwa kigezo cha tukio moja?
e) Alitaka alipwe fidia ya dola10,000 lakini aliposhauriwa kuanza mchakato mahakamani alikataa?
f) Kwanini social media za Nigeria, Kenya na SA ndizo hasa zinazoshadidia zaidi suala hili?
g) Wanaigeria wangapi kwa mwaka wanakuja kutalii Zanzibar au Tanzania kwa mwaka?
h) Zanzibar na Tanzania itaathirika kwa kiasi gani iwapo Wanaigeria hawatakuja kutalii huku kwetu?

Mwenye majibu asaidie hapa, maana mie sielewi
 
Back
Top Bottom