Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza ukathibitisha kauli yako hii??Lakini kwann watu wa visiwani wameharibu sifa nzuri ya nchi yetu?
Naomba uwaulize, wamemaliza msiba wa Osinachi?View attachment 2191594
Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni takataka wasiyo natofauti na nguruwe. Mjadala huo unaendelea na kupamba moto na raia hao Wanaijeria wameapa kutokuja Tanzania kutokana na kukithiri kwa utetezi wa matukio ya ubakaji.
Then, wewe utafaidikaje?Ri -nigeria ri-ngine hili hapa mliondoe!! tuanaze na hili....
Kuna watanzania wangapi Nigeria?Na wanaijeria waliotapakaa hapa nchini wafurushwe warudi kwao.
Watuache na ujinga wetu.
Kenya ni wivu ndo unawasumbuaWakenya, Wasauz na Nigeria yaani kiufupi WaAfrika hatupendani tunaishi kinafiki. Watu wanakutafutia sehemu tu siku ujikwae uone watakavyokushushia mvua.
Kenya huwa wanaitaman Sana Tzjamani sasa hii hatare .... ''Kunya Land! wanatafuta umaarufu waachaeni!
Demu mdangaji yule. Mwizi tuLOLA70.... Mbakaji anaombwa Condom na yeye anaenda kuchukua?? Halafu anarudi na Condom anamkosa mbakwaji anaamua kuiba pesa, hebu acha kutuchekesha sie,
Kwanza unazijua hotel za Zanzibar wewe, Milango yao unaijua vizuri na ukumbuke ile ni 4 star hotel, huyo Mbakaji aliingia vipi mbona hajasema aliingia vipi na alitoka vipi wakati mbakwaji anasema alifunga Mlango.
Mimi naona bora Tanzania itangaze mgogoro wa kidiplomasia na Nigeria. Hii kitu ikiendelea hivi watatuchafua sana. Naona Kuna hidden agenda hapa.Wanaijeria matapeli hawaaminiki