Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Waweke hapa ushahidi wa kubakwa, badala ya kukoleza porojo......
 
Hao matapeli wapo kibao pale posta inabidi tuanze kuwasaka tuwarudishe kwao mmoja mmoja.
 
Ifike wakati sasa collective responsibility itawale serikalini hapa ndipo napomkumbuka JPM. Angekuwa hai immigrations ingeweka maafisa wao sehemu kama Shopperz ya masaki na msasani huwa ni venue pendwa sana kwa wanaijeria wengi wanaokuja kitapeli hapa nchini.

Kule Element, Havoc, maison, Levante ,sea cliff village, na Slipway yaani wangewadaka wanaijeria wote wasio na vibali vya kuishi na kuwarudisha kwao. Hawa sio watu wa kuwakaribisha kabisa hapa nchini. Ni matapeli wa kutupwa wapo wanaijeria wanatembea na bajaji wanauza bangi masaki. Wamelianzisha sisi tulimalize. Uhamiaji fanyeni kazi tuondoleeni na wakenya pia.
Hao wakenya wengi sana nadhani tuanze nao
 
Hao wakenya wengi sana nadhani tuanze nao
Mkuu makenya tayari yameshikia bango swala la bomba la mafuta la Uganda-Tanzania kwamba ni mradi ambao ni hatari kwa mazingira, yanapiga kampeni chafu hadi baadhi ya financiers wa mradi wameanza kujitoa.........kunyaland ni nchi hatari kwa maslahi ya Tanzania, jeshi lianze kuweka vikosi na silaha za kutosha kwenye mpaka na kenya ili kulinda maslahi ya nchi.
 
Hapa pagumu maana hata masharti ya kuingia na kuja kufanya Kazi humu wameshalegezewa
 
View attachment 2191594
Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni takataka wasiyo natofauti na nguruwe. Mjadala huo unaendelea na kupamba moto na raia hao Wanaijeria wameapa kutokuja Tanzania kutokana na kukithiri kwa utetezi wa matukio ya ubakaji.
nigeria are scams... wanataka tuongelee walivokuwa wanataka kutupiga kuna moja alinijia miaka ya nyuma alijifanya mke wa mashoud abiola alifkia peacock hotel
 
View attachment 2191594
Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni takataka wasiyo natofauti na nguruwe. Mjadala huo unaendelea na kupamba moto na raia hao Wanaijeria wameapa kutokuja Tanzania kutokana na kukithiri kwa utetezi wa matukio ya ubakaji.
Wasije tanzania ,tanzania ourself Tupo so blessed kuliko nchi yeyote africa wakwendeeeee[emoji28]
 
Hapo ndio namkumbuka JPM kichaa wetu..naamini angevunja diplomatic ties na hao mbwa na kupiga marufuku wanaijeria kuingia nchini. Sisi hatuna shida na hao mbwa waliokomaa sura za magimbi. Wao ndio wanajileta kwetu, mtanzania akatafute nini kwao hao mbwa.
Dah kwel aisee angekuwa mzeee [emoji28]wangekoma
 
Waambie wasitujaribuu.....Na Mapichapicha yao ya Kishirikina!
 
Watu wenyewe wezi anaetaka kuibiwa nani!!!

Kabisa wanaijeria nao wanajiona watu ktk watu?
 
Haya wenzangu imekuwaje hawa watu weusi wenzenu tenaaa!...Miafrica bana ndo mlivyo!
 
Back
Top Bottom