Hakuna cha kushughulikiwa hapo hata mamlaka zisijichoshe...demu malaya alikuwa kwenye udangaji.Hao watapeli wasichukulie tukio moja ku justify tabia za Watanzania wote, hilo tukio mamlaka husika wanalifanyia kazi waache mawenge
Huyo alikuwa anajiuza tu na utapeli.View attachment 2191594
Baada ya sakata la Zainab aliyedai kunusurika kubakwa akiwa Zanzibar, Wanaijeria mbali mbali wameonekana kukasirishwa na tukio hilo na kuanzisha mjadala unaosema kwamba Watanzania wote ni wajinga wanaounga mkono ubakaji. Wanaijeria hao wamekataa kufuta kauli hiyo na kuwaita watanzania ni takataka wasiyo natofauti na nguruwe. Mjadala huo unaendelea na kupamba moto na raia hao Wanaijeria wameapa kutokuja Tanzania kutokana na kukithiri kwa utetezi wa matukio ya ubakaji.
Mzee hawa jamaa wameamua kupambana na wabongo wote, huko clubhouse tunadhalilika...wamenichomoa kwenye room yao, wameniita nguruwe wenyewe wanasema "remove it"...nilikuwa najaribu kuwaambia kusema watanzania wote sio wajinga sio sawaHakuna cha kushughulikiwa hapo hata mamlaka zisijichoshe...demu malaya alikuwa kwenye udangaji.
She has questinable travelin record.
Nipe link niende....Mzee hawa jamaa wameamua kupambana na wabongo wote, huko clubhouse tunadhalilika...wamenichomoa kwenye room yao, wameniita nguruwe wenyewe wanasema "remote it"...nilikuwa najaribu kuwaambia kusema watanzania wote sio wajinga sio sawa
Hiyo hapo mzeeNipe link niende....
Mzee hawa jamaa wameamua kupambana na wabongo wote, huko clubhouse tunadhalilika...wamenichomoa kwenye room yao, wameniita nguruwe wenyewe wanasema "remote it"...nilikuwa najaribu kuwaambia kusema watanzania wote sio wajinga sio sawa