Wanaijeria wa Clubhouse wakubaliana kwamba watanzania wanaunga mkono ubakaji

Mimi naona bora Tanzania itangaze mgogoro wa kidiplomasia na Nigeria. Hii kitu ikiendelea hivi watatuchafua sana. Naona Kuna hidden agenda hapa.

Nawapenda sana waganda, wanawake wao ni wazuri sana, Hivi ni kweli wanakuepo pia?
Waganda watamu wewe na weusi wao ajabu hawana shombo!
 
Hatuwataki kabisa hao kenge...wanataka kutapeli kiboya namna hiyo
 
Tuwaombe vibali vya kazi kama hawana wawekwe mahabusu then wafukuzwe tu.
 
Kama walikuwa na appointment, basi lazima angekuja na condom. Receptionist always wana funguo wa kuingia chumba chochote.Hela alizosema kaibiwa ni ndogo sana( kama alitaka kulipwa back). Kama alikuwa na nia ya kuwa blackmail, basi angeweza mtambua aliyetaka kumbaka kwa sura( wangemwamini zaidi) bali alimtambua kwa harufu tuu. Hakuna mwanamke atataka kujitia kwenye fedhea kama hii.
 

Kwa hiyo unataka kusema kua uongozi wa hotel ulipanga njama huyo mwanamke atake kubakwa?? Yaani 4 star hotel ipoteze hadhi yake kwa ajili ya mjinga mmoja wa Nigeria, be serious kidogo,

Suala la protection hua halina kipaumbele kwa wazinzi wengi mpaka baadae yakiwafika majambo kwa hiyo sababu yako sio nzito,

Huo mstari wa mwisho inaonesha bado dunia hujaijua ipasavyo.
 

kwanza hatuna shida nao bora serikali ifunge viza za wanaigeria woote
 
Wapumbavu hao wao wana ustaarabu gani hapo kwao na huko duniani?
 
Omo[emoji848]...wonders shall never end
 
ingekuwaje wanaigeria wangekua wanaongea kiswahili...mbona wangeyaoga leo??? hahahhahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hao watu ukiishi nao ndio utawajua vizuri,wana fitina sana kujiona wao ndio bora kuliko waafrika wote
Am Nigerian so take care I don't have a joke with zaramo I warm you we are bright than you so take care!
 
nigeria ukiachana na muziki ni utapeli tu ndio umekithiri
 
wasipokuja itakuwa nafuu utapeli , uzinifu na uhalifu utapungua

Hatutaki watalii wa uzinifu kama Mombasa
 
hakuna wa kuwasikiliza,wanafahamika,na wala wao siyo wa kuitwa watalii,takwimu zao ni 0.00000001
 
Wasije kabisa tena. Ukitaka nchi yako iharibike waache Wanigeria waingie kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…