Wanajamiiforums mko wapi?


Mtu kajiita life is short unategemea nini? (Utani[emoji2])

Sio kwamba hawapo ukute wapo ila wana IDs tofauti hizi wamezi-dump [emoji2781]. Kuna wengine siku hizi wako biased na majukwaa mengine huku kama ulimzoea MMU basi unakuta mahaba siku hizi yako kwenye jukwaa la Entertainment huko au jukwaa la Magari au Siasa tu sasa naww kama hutembelei kule umezoa kusoma nyuzi za kula kimasihara unaweza kuhisi mwamba hayupo JF.
 
unaleta utani sehemu isiyohitaji utani
 
Wewe katika hao wawili ID yako ni ipi? Maana hapa unawaandaa watu na kitu flani..... Unazikumbuka IDs zako nyingine unajipigia promo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…