Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

Screenshot_20250314-075844.jpg
nasubiri kwenda VETA maombi yenu wakuu
 
Ukishajua kwanini JF inaruhusu majina fake hutasumbuka kuomba omba watu watume picha zao humu, otherwise wewe ni mtu wa usalama na huu uzi umeutunga kimkakati ili upate kuwajua watu unaowahitaji.
 
Back
Top Bottom