Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

Wanajamiiforums tufahamiane hata kwa Kila mtu apost picha yake. Tuanze na Sky Eclat apost hapa

Tumekua tukishare ideas mbalimbali, ni muhimu kufahamiana japo kwa picha unashanga siku umeenda kijijini Mpwayungu unapokelewa vizuri na Faiza 🦊 Fox....... Tuanze sasa mm yakwangu ntapost mwishoni
Niko na baby wangu
Screenshot_20250308_165351_Instagram.jpg
 
Je wafupi walio na vipara wanaruhusiwa kupost pia picha Zao?
 
That'll defeat the purpose of the forum. Ukitaka picha nenda FB au IG, made specifically for such.
 
Angalia avatar zetu ndio tulivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom