klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
kweli sarafina ni mgeni. hivi unajua kwamba kuquote signature hapa JF ni kosa?, bahati nzuri umequote signature ya mod. umesamehewa kabla haujaomba msamahaWARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
na wote niliowasahau nawapenda sana[/QUOTE]
I love yuou too my Dia Sarafina
Next time usinisahau sawa mpenzi
Nimpendae alinitenda sasa hv sina nimpendae mwaya naishi kwa mazoea tu
sarafina huyu!! yani umeanza na kuwarusha watu hewani kama zile haja kubwa za kibera?? Haya bana
wapi asprin ???
wapi nyamayao?
wapi MJ1 ?
yeyoooooooo
aisee kuna mgonjwa huku psychiatric ward kabeba panga na sime hebu njoo tumpe dawa banaNiko Martenity ward huku, nawagaia kina mama vidonge vya kutuliza maumivu.
Hommie kwa hiyo Sarafina1 inakuaje hapa?Niko Martenity ward huku, nawagaia kina mama vidonge vya kutuliza maumivu.
aisee kuna mgonjwa huku psychiatric ward kabeba panga na sime hebu njoo tumpe dawa bana
Hommie kwa hiyo Sarafina1 inakuaje hapa?
Hawajanikaribisha chumbani my dear nimekaribishwa sebule tu nadhani hii nafasi ulibakishiwa weweNajua nami nimo katika list ya mabano ya wapendwa wako Sarafina1 ...............karibu sijui waliokupokea walikukaribisha chumbani?
Mmmh hiyo ni hatari...........kuishi kwa mazoea! Hata mungu hapendi!
Naona nazeeka hommie.....lol, ngoja na mimi niangalie pa kutokea leo!! any idea babu? au mpaka niend kule kwenye kukaribisha jamvini?Maslahi binafsi hommie....siku hizi mawani yako hayakuwezeshi kusoma between them lines?