Wanajamvi

Wanajamvi

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
kweli sarafina ni mgeni. hivi unajua kwamba kuquote signature hapa JF ni kosa?, bahati nzuri umequote signature ya mod. umesamehewa kabla haujaomba msamaha
 
Najua nami nimo katika list ya mabano ya wapendwa wako Sarafina1 ...............karibu sijui waliokupokea walikukaribisha chumbani?
 
Kwahiyo babu akiwauliza mmekokludi nini,

Nyie mtamjibuje:focus:
 
sarafina huyu!! yani umeanza na kuwarusha watu hewani kama zile haja kubwa za kibera?? Haya bana

wapi asprin ???
wapi nyamayao?
wapi MJ1 ?

yeyoooooooo
 
sarafina huyu!! yani umeanza na kuwarusha watu hewani kama zile haja kubwa za kibera?? Haya bana

wapi asprin ???
wapi nyamayao?
wapi MJ1 ?

yeyoooooooo

Niko Martenity ward huku, nawagaia kina mama vidonge vya kutuliza maumivu.
 
Najua nami nimo katika list ya mabano ya wapendwa wako Sarafina1 ...............karibu sijui waliokupokea walikukaribisha chumbani?
Hawajanikaribisha chumbani my dear nimekaribishwa sebule tu nadhani hii nafasi ulibakishiwa wewe

Mmmh hiyo ni hatari...........kuishi kwa mazoea! Hata mungu hapendi!

Sasa nitafanyaje na mapenzi yanautesa moyo wangu
 
Maslahi binafsi hommie....siku hizi mawani yako hayakuwezeshi kusoma between them lines?
Naona nazeeka hommie.....lol, ngoja na mimi niangalie pa kutokea leo!! any idea babu? au mpaka niend kule kwenye kukaribisha jamvini?
 
kweli sarafina ni mgeni. hivi unajua kwamba kuquote signature hapa JF ni kosa?, bahati nzuri umequote signature ya mod. umesamehewa kabla haujaomba msamaha

Kumbe ni kosa asante mod kwa kunisamehe, sitorudia tena
 
Back
Top Bottom