Acha kufananisha Gongolamboto na vitu vya kijinga, Wamarekani labda wa huko huko Tandale na Buguruni. Gongolamboto hakuna wamarekani.Wamarekani wa huku kwetu Gongolamboto sasa wako kimyaaa kana hawajaona habari vile
dodge
Lakini mara ya kwanza siwalisema hakuna walio jeruhiwa?Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Sawa; tusubiri huo muda uongee Mkuu. Ila taarifa rasmi ndio hiyo kwamba ni wanajeshi 11 tu waliogundulika kusumbuliwa na "concussion symptoms " kutokana na "kipigo" cha Iran. Duh! kwa jinsi maayatollah wa Kimanzichana walivyovamia huu uzi angekufa hata koplo mmoja wa kimarekani wallahi ingebidi tukimbie hili jukwaa forever!Kumbuka hapo hawajasema ukweli halisi huenda kuna vifo na majeruhi kibao.Tusubiri muda utaongea.
... ni kweli ila kumbuka majeraha yapo ya viwango tofauti; mtu aliyekatika viungo kama miguu on the spot ni tofauti na wa "concussion symptoms". Symptoms hu-develop taratibu hivyo huchukua muda kuonekana tofauti na kukatika mikono kwa mfano.Lakini mara ya kwanza siwalisema hakuna walio jeruhiwa?
Sawa; tusubiri huo muda uongee Mkuu. Ila taarifa rasmi ndio hiyo kwamba ni wanajeshi 11 tu waliogundulika kusumbuliwa na "concussion symptoms " kutokana na "kipigo" cha Iran. Duh! kwa jinsi maayatollah wa Kimanzichana walivyovamia huu uzi angekufa hata koplo mmoja wa kimarekani wallahi ingebidi tukimbie hili jukwaa forever!
... una haki ya kuongea chochote Mkuu; otherwise weka trusted source.Mbona maafisa wakuu wa kijeshi wa Marekani wengi tu wanauawa huko Uarabuni kama Afghanistan,Iraq,Syria na kwingineko.
Wakupe idadi kamili wewe au nani?Lakini c tuliwaambia hapa kama wanaficha aibu
Ngoja ipo siku watatupa idadi kamili ya waliouwawa kama 80 Ama 100 ila lazma watatupa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaposema maafisa "wakuu" wa kijeshi wa marekani wanauawa huko arabuni una maanisha nini?Mbona maafisa wakuu wa kijeshi wa Marekani wengi tu wanauawa huko Uarabuni kama Afghanistan,Iraq,Syria na kwingineko.
... una haki ya kuongea chochote Mkuu; otherwise weka trusted source.
Tafasiri rahisi ya hiyo defn ni "kuweweseka"; in short wanajeshi 11 wa Marekani wameonesha dalili (symptoms) za kuweweseka baada ya ile milipuko halafu watu humu wanashangilia ushindi wa Iran! Ha ha ha!Mi naweka defn ya concussion tu
View attachment 1325712
Na hawa walioneruhiwa uliona CNN wakitangaza?Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
Aliyekufa ni Jenerali Qassem Soleiman
Mkuu kiingereza ni lugha adhimu iliyokuja na meli😂😂😂Tafasiri rahisi ya hiyo defn ni "kuweweseka"; in short wanajeshi 11 wa Marekani wameonesha dalili (symptoms) za kuweweseka baada ya ile milipuko halafu watu humu wanashangilia ushindi wa Iran! Ha ha ha!
Unatamani iwe hivyo na haitatokeaKumbuka hapo hawajasema ukweli halisi huenda kuna vifo na majeruhi kibao.Tusubiri muda utaongea.
Hao ayatollahs wanao agent wao kwenye Congress, Ilhan Omar.Ikitokea kama kuna mwanajeshi aliyekufa lazima ingejulikana.Hawapo watasemaje? Wasingizie watu wamekufa wakati hawajafa? Pili, tunavyoijua Marekani isingewezekana wanajeshi wake wafe halafu shughuli zifanyike kimya kimya haipo hiyo kitu. Ni lazima CNN na vyombo vingine wangeihabarisha dunia na majeneza tungeyaona.
... great observation! Ilham Umar saa hizi angesha-post vibaya sana kwenye social media na kuwasilisha hoja binafsi kwa Nancy Pelosi ili kumkomoa Trump.Hao ayatollahs wanao agent wao kwenye Congress, Ilhan Omar.Ikitokea kama kuna mwanajeshi aliyekufa lazima ingejulikana.