Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

Kumbuka hapo hawajasema ukweli halisi huenda kuna vifo na majeruhi kibao.Tusubiri muda utaongea.
Kwa nchi kama Marekani huwezi kuficha vifo. Maana aliyekufa ni lazima atakuwa na ndugu au familia. Kwa jinsi uhuru wa watu ulivyo mkubwa, hawatakosa kuuleza umma kuwa serikali yao ilidanganya.

Lakini pia tyjue kuwa Rais wa Marekani na hata yule wa Iran, hupokea taarifa kutoka kwa watu wao. Tukio linapotokea ghafla, ni vigumu sana kupata taarifa zote kiundani na kwa jumla.

Kuwepo watu walioathirika kiakili/kisaikolojia kutokana na mabomu, siyo kitu kinachoweza kugundulika mara moja.

Tusipende kujaza hisia kwenye mambo ambayo hatuna uhakika nayo. Kufa kwa Mmarekani au Muirani hakutuongezei kitu sisi kama Taifa. Binadamu hastahili kushabikia wala kufurahia kifo cha mwenzake, japo watu kila siku wanahangaika kugundua silaha bora zaidi za kuwaangamiza wanadamu. Huu ndio ujinga mwingine, wa kiumbe binadamu.
 
Tusipende kujaza hisia kwenye mambo ambayo hatuna uhakika nayo. Kufa kwa Mmarekani au Muirani hakutuongezei kitu sisi kama Taifa. Binadamu hastahili kushabikia wala kufurahia kifo cha mwenzake, japo watu kila siku wanahangaika kugundua silaha bora zaidi za kuwaangamiza wanadamu. Huu ndio ujinga mwingine, wa kiumbe binadamu. Kwanza Mkuu Hamna Anaekataa Yakwamba Marais Hua Hawapokei Habari Toka Chini Ili Mpaka Ziwafikie Wao ila hata kama wewe ndio rais vuta picha kweli ballistic zitue kwenye kambi zenu halaf wasipatikane hata majeruhi nahisi ni mtoto tu anaeweza kudanganywa na huu uwongo maana athari ya bomu inajulikana hata kama litakua lakutupwa kwa mkono tuu seuze ballistic zaidi ya moja lipige kambi halaf wasipatikane hata walojeruhiwa haiwezekani (HAIWEZEKANI)


Nahisi hapa kweli kuna watu wanashabikia vifo vya wenzao ila kuuficha ukweli hakumaanishi kama hao watu watafufuka ama hawatakufa



US nasikia wazazi washa anza kulia lia huko wanataka wajue uwepo ama kutokuwepo kwa watoto wao.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kadiri siku zinavyosogea ukweli utajulikana
 
Mimi nilisha sema toka lini US akakubali kichapo anachopewa? Iran huwa hawasemi uwongo na kutokana na Iran 80 wanajeshi wa US wamekufa na 200 wameumia. Hicho kichapo bado Iraq aliwatonya US kwamba missile zinakuja. Je asinge ambiwa na Iraq kuwa Iran atashambulia hizo base mbili ingikuwa balaa 😁 😂 😬
 

Alishapiga hesabu ndio maana mpaka sasa no new sanctions na anawaomba mezani....

kutoka kwangu muajemi wa buza
 
Dah asee kama kweli waliwatonya walikosea mnoooo
Iraq walikosea sana kuwatonya US kuhusu ujio wa vifurushi vya Iran,nilitamani kesho US waokote mizoga kama 2000
Jamaa wanatakiwa wawa ache tu sku yapili maana wangepewa ambush ya maana hapo leo wangekua washafika DC pimbaf hao


All Is Well In Turampet Voice[emoji1][emoji2][emoji23][emoji16][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi hivi troop so mwanajeshi Bali no kikundi cha kama wanajeshi 14 hivi. Na sio mwanajeshi mmoja KWA akili YANGU nadhani itakua ni mwanajeshi 154 hivi ndio walio patwa na majanga ya hizo bomu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…