Wanajeshi 60 wa Tanzania huko Afrika ya kati kurejeshwa nyumbani kwa tuhuma za unyanyasaji wa kingono

Unaongelea wanajeshi?

Hao ndo wamesambaza HIV kwa kasi ule mwaka 1978 , ukifuatilia utajua mwaka huo maambuziko yalikuwe mengi na waliutoa huko uganda .

Mwaka 20's wengi walikufa kwa HIV walikuwa wanajeshi na channel zao za michepuko ...
Vijana maadili hawana walikuwa hata bia wanauziwa bei ya chini na ndo maana wengi wanakuwa walevi na wapenda starehe.
 
Anga za kimataifa wajeda wanapata aibu ya mwaka, ujue watanzania Wana tabia za ajabu sana yaani no matter iweje ila Kuna zile tabia kbasa watu hawezi acha iwe mwanajeshi
Polisi au watumishi ndo maana unakuta watu wanafanya vitu kwa mazoea tu
Wanaume huwa tunaangushwa na maku tu Wala hakuna chochote,yaani mie nawachekigi watu wanatafuta nguvu za kiume sijui wazipeleke wapi labda tungejikita kutafuta nguvu za kichwani Mana hata za mwili dunia hii hazina kazi Mana hatulimi kwa mikono, kupigana,kunyanyua zege.
Ukiwa na nguvu nyingi za kiume Basi lazima nguvu za kichwani ziwe kidogo na za kichwani zikiwa nyingi lazima za kiume ziwe kidogo. Yaani this relation is inverse relationship. Chagua unawekeza wapi. Wazungu Wana nguvu kidogo za kiume wanatutawala tunawapa madini,bandari yaani kila kitu chetu waafrika hatuwezi kujitawala kisa tumejaa nguvu nyingi za kiume so always at every 7minutes we think about sex.


Hawa jamaa nguvu nyingi za kiume wakubainika nadhani hawatapewa stahiki zao na wanaweza wakashtakiwa. Watapoteza si chini ya 200M tzs ambazo wangelipwa wakimaliza opereheni. Wamekuwa shujaa wa ngono.
 
Ila kweli hao huwa wakitoka Depo wanachofikiria ni pombe na ngono tu.
 
Acheni ubakaji,kama unampenda demu basi "ongea naye mpaka mwisho ni mia tano" in Masai voice
Nalog off
Sio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
 
Vitani ubakaji ni mkubwa sana.
Hata Uganda walibakwa sana wanawake. Hiyo ni kawaida.

Hata Ukraine watu kibao walibakwa

Kuna dogo wa miaka 8 alipigwa mande na kikosi kizima hadi akafa
Poleni mliobakwa,tatizo kwa wanajeshi huwa ni nye ge au ni vitisho ili raia waogope?
Nalog off
 
Hapo utakuta Wanawake wakicongo walifall in love na wajuba toka TZ wakawa wanawatega wahuni wakapiga na kusepa means kuna wengine waliachwa wakiwa na watoto sasa kama unavyojua fitina za single maza hazimuachi mtu salama.
 
Sio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
Nimekuelewa mkuu
Nalog off
 
Mfumo wa jeshi uboreshwe wawe wanaajiriwa graduates walau Kwa kuanzia .
 
Ndo walicho bakiza ata mtaani wamejaa u malaya tu kung'ang'ania madem za watu ..
 
Yale wanayowafanyia raia hapa home wameenda kuyaonesha huko.

Huku home wanalindwa na CCM, Wamesahau CCM mwisho wao ni chumbe
 
Mfumo wa jeshi uboreshwe wawe wanaajiriwa graduates walau Kwa kuanzia .
Graduate wote huwa ni commissioned officers jeshini

Labda wale waliojiendeleza umri ukawatupa mkono

Maana monduli kule niliwahi sikia mwisho ni 32 years kupiga kozi ya cadet.

Lakini lazima wapate man power jeshini ndio hao askari wa kawaida ambao sio maafisa

At least useme wachukie high school underperformers at least div 3/4
 
Wanajeshi wetu wa bongo elimu Hawana wao wanaamini kuwa wanajeshi umemaliza kila kitu, waishie huko huko hatutaki vibaka sisi
Elimu kwa mtu ambae amejitolea mwili wake kwa Risasi.
Tatizo lenu mnaamini Elimu yenu yapa Bongonyoso ndo kilakitu😂😂😂
Na hata siku moja zilie mizinga na mabomu na hisi hiyo elimu yako itasaidia kutumia Silaha na moto kwa kusonga mbele we mpumbravu wahead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…