Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Hv ni kweli???Bado vijana wa kike wa JKT wanawabaka sana pia, tunashauri rais Dkt Samia aingilie kati vijana wa kike wananyanyasika mno huko JKT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv ni kweli???Bado vijana wa kike wa JKT wanawabaka sana pia, tunashauri rais Dkt Samia aingilie kati vijana wa kike wananyanyasika mno huko JKT.
DuuhWanabaka mpaka makuruta wa form 6😂
Russia walibaka sana kule ukraine na kule moldovaMajeshi ya kiarabu, yanalinda amani nchi gani.
Coca 🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
DuuuuWanabaka hadi Form Six JKT
Fuatilia kabla hujataja jeshi la nchi yeyote , kutowasikia haimaanish hawafanyi , bali fuatilia kwanzajeshi la nchi za kiarabu misri algeria sudan uae kuweit yemen rusia saudia china korea wapi ulisikia jeshi la nchi hizi zinabaka wanawake?
Sw ila tukemee hao wachache , lasivyo utakemea siku umebakwa ww au kabakwa mtu wa karibu yakoMkuu, Una Experience na nchi gan zingine ulowahi fika na kufaham tabia na vipaumbele vyao, hadi uka conclude kuwa Tanzania ndo giant wa ngono?
Yote haya wameyataka ccmWalinda amani wa Tanzania kurejeshwa nyumbani kutokana na madai ya utovu wa nidhamu CAR
9 Juni 2023Haki za binadamu
Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati (MINUSCA) chenye makao yake makuu mjini Bangui, kimetangaza uamuzi wa Sekretarieti, kuwarudisha nyumbani kikosi cha wanajeshi 60 wa Tanzania, waliokuwa wametumwa katika kambi ya muda ya operesheni katika eneo la magharibi mwa nchi hiyo kufuatia madai makubwa ya matendo ya unyanyasaji wa kingono yanayodaiwa kutekelezwa na walinda amani hao, msemaji wa Umoja wa Mataifa amewaeleza walinda waandishi wa Habari hii katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa, jijini New York, Marekani.
Msemaji wa Katibu Mkuu wa UN, Stéphane Dujarric, amesema, "Uamuzi huo unakuja baada ya uchunguzi wa awali ambao ulipata ushahidi wa kuaminika kwamba walinda amani 11 wa kitengo hicho walidaiwa kujihusisha na unyanyasaji wa kingono kwa waathirika wanne.”
Akifafanua zaidi Dujarric amesema, “Waathiriwa waliotambuliwa wanapatiwa matunzo na usaidizi kutoka kwa wadau wa operesheni za kibinadamu. MINUSCA pia imetuma timu ili kuzungumza zaidi na jamii.
Tanzania imetuma wachunguzi
Kwa mujibu wa Dujarric, “Mamlaka za Tanzania zimearifiwa rasmi na zimetuma maafisa wa uchunguzi wa kitaifa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati. Katika kuthibitisha dhamira yao ya kutovumilia kabisa unyanyasaji wa kijinsia na kingono, mamlaka za Tanzania zilibaini uzito wa tuhuma hizo na wamejitolea kuchukua hatua zinazohitajika kushughulikia masuala haya.”
Msemaji huyo amesema, “Kikosi kimehamishwa na kupelekwa katika kambi nyingine huku uchunguzi ukiendelea, na wahusika wa kitengo hicho wamezuiliwa kwenye kambi, hii ni kwa ajili ya kuwalinda waathirika na bila shaka uadilifu wa uchunguzi. Kikosi hicho kitarejeshwa nyumbani pindi ambapo uwepo wao hautahitajika tena kwa wachunguzi.”
Vilevile Dujarric ameeleza, “Uamuzi wa Sekretarieti kurudisha kikosi hiki ni kwa mujibu wa azimio namba 2272 la Baraza la Usalama, ambapo Baraza 'linaidhinisha uamuzi wa Katibu Mkuu wa kurudisha nyumbani kikosi fulani cha kijeshi au kuunda kitengo cha polisi cha kikosi wakati kuna ushahidi wa kuaminika wa unyanyasaji wa kingono ulioenea au wa kimfumo unaofanywa na kitengo hicho'.
Msemaji huyo wa Umoja wa Mataifa amesisitiza kuwa, "Umoja wa Mataifa unasalia na nia ya kutekeleza kwa dhati sera ya Katibu Mkuu ya kutovumilia kabisa unyonyaji na unyanyasaji wa kijinsia."
=====
The United Nations will send home a unit of 60 Tanzanian peacekeepers over allegations of sexual exploitation and abuse in the Central African Republic, the UN announced on Friday.
A preliminary investigation found “credible evidence” that eleven members of the unit were involved in sexual exploitation and abuse of four victims, UN spokesman Stephane Dujarric said.
Two of the alleged victims are children, according to UN figures.
Investigators also identified a breakdown in commanders’ authority and management of staff, according to a press release by the UN’s mission in the country.
The victims have received care from humanitarian groups working with the UN, according to their “medical, psychosocial and protection” needs, it said.
The UN has had a mission in the conflict-torn Central African Republic since 2014, where thousands of peacekeepers have been deployed.
The eleven suspects had been working at a temporary base in the west of the country. The Tanzanian unit has now been relocated to another base and its members confined to the barracks.
“The unit will be repatriated once their presence is no longer required by the investigation,” Dujarric said.
Tanzanian authorities have also dispatched investigation officers to the Central African Republic.
There have been allegations of sexual abuse or exploitation against Tanzanian peacekeepers – largely in the Democratic Republic of Congo – every year since at least 2015, UN figures show.
Hii taswira mbaya sana kwa Jeshi letu.
UgwaduMajeshi karibu yote ya walinda amani hukumbwa na hizi kashfa. Nyege za wanajeshi na maisha magumu ya wanaolindwa.
Kwamb hao wanajeshi hawajui kuwa ni htr kuwa krb na hao wenyej wanaolindwa ?We hujui wale mademu wanatumia kama fursa ya kupata msaada wa UN hawajabakwa hao basi tu jumba bovu ili wapone njaa zao
Je wao hawaamim kuwa hao wanajeshi wana hisia , au ndo uchochez wa ushoga huu , tungekuwa na kiongoz timamu angekuwa anaomba wanajeshi wake wawe wanapewa muda wa kuja kufurahi na familia ili hisia zipungueSio kwamba wanabaka directly Mzee..once ukitoka uku kwenda kulinda amani hutakiwi kufanya mapenzi na raia yeyote wa kule ata kama mmekubaliana inahesabika umebaka,ikijulikana au ukionwa tu kibarua huna tena uko Kwa taratibu zilivyo
Ndo maana wanapewa likizo kiongozi baada ya miezi.6Je wao hawaamim kuwa hao wanajeshi wana hisia , au ndo uchochez wa ushoga huu , tungekuwa na kiongoz timamu angekuwa anaomba wanajeshi wake wawe wanapewa muda wa kuja kufurahi na familia ili hisia zipungue
Kwa hiyo unatetea uovu?Jeshi la nchi gani lina askari MALAIKA wasiohusisha "mbubu" wachache?!!![emoji15][emoji15]
Abeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]Coca [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabisa mkuu, pombe, ngono na sasa hivi kamari/mikeka...Wabongo wanapenda sana starehe kuliko kazi wanatamani wangezaliwa brunei wamwage radhi - Prof jay 2000
Jamaa anakupenda 🤣🤣🤣🤣 @ Babu FyeeeAbeeeeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Tununu nkamu sitwagile inyaliTwa masiku?