Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

Ahha wapi!! Urusi ameishiwa jeshi hadi amekwenda kukusanya walahoi vijiweni, Mrusi hajui tactic yoyote zaidi ya kusukumia wanajeshi wauawe, na ndio mbinu alitumia kwa Hitler, yaani walikufa kwa mamilioni mpaka silaha zikawaishia Ujerumani, ndio mbinu amejaribu kutumia kwa Ukraine, sema Ukraine wakawa wajanja kwa kupiga mirija ya supplies and logistics na kuwaacha Warusi wamepoteana na njaa na bila mawasiliano, na kuanza kuuawa kama senene.
 
Kama Hali ingekuwa hivyo unavyosema bas urusi angeshauteka huo mji zamani sana, maana ni zaidi ya miezi 4 Sasa warusi wanapambana kuchukua huo mji lakini wameishia kuchinjwa tu, [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ndo maana ya grinding,, yaani wanaenda slow but sure,, halafu jeshi la Russia halipigani hapo, ni mamluki wa wagner,, sasa jiulize vizuri,, jeshi la Russia liko wapi?
 
Ndo maana ya grinding,, yaani wanaenda slow but sure,, halafu jeshi la Russia halipigani hapo, ni mamluki wa wagner,, sasa jiulize vizuri,, jeshi la Russia liko wapi?
Lakini pia uskose kujiuliza kwa nini urusi walifanya mobilization ?
Za kunyapianyapia ni kwamba Kuna second mobilization itatangazwa siku si nyingi,[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Lakini pia uskose kujiuliza kwa nini urusi walifanya mobilization ?
Za kunyapianyapia ni kwamba Kuna second mobilization itatangazwa siku si nyingi,[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mobilisation bado wapo training,, hii vita itachukua miaka hata 5,,
Sasa piga hesabu hizi,, Russia waliingiza ukraine wanajeshi 150,000,
Askari wote wa Russia, active force ni jaribu 800,000,
Tuseme tu, wale wa mwanzo wamekufa nusu, wakabaki 70,000,
Wagner usiwahesabu,,
Askari 500,000 wa Russia wako wapi?
 
Duh! Huu utakuwa mjadala mrefu sana..,naishia hapa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
⚡🇷🇺Wagner chief Yevgeny Prigozhin commented on the storming of Artemovsk:

"Bahkmut is a large, well-fortified area with roads, suburbs, and water barriers. The Ukrainian army is well-prepared and offers decent resistance.
Our task is not Bakhmut itself, but to destroy the Ukrainian army and reduce its combat potential, which is extremely positive in other directions, which is why this operation has been dubbed the "Bakhmut meat grinder."
In this regard, do not run ahead of the locomotive, we will let you know, happiness loves silence"
 
❗️Military expert explains the timeline for the liberation of Bakhmut (Artyomovsk)

Fighters of the Wagner PMC have approached Bakhmut (Artyomovsk) directly, with the fighting now taking place on the outskirts of the city. This was reported by candidate of military sciences, Anatoly Matviychuk, to the channel "Idi I Smotri".

"Bakhmut (Artemovsk) is not only a military objective for us, but also an object of prestige. If it is taken, we get full control over the roads leading to Kramatorsk," the expert said.

According to Matviychuk, the liberation of the city can happen in the near future.

"Within two to three weeks we will wait for good news from this front," the expert concluded.
 
warusi wa buza na wambagara watakuja kujibu hoja na hii vita ilifurahaiwa na wavaa kobazi
 
Putin mbona ashawajibu wazazi wa wanajeshi waliokufa vitani ama vijana wa mobilization kuwa vifo vyao ni kama vile waliokufa kwa ajali za barabarani au kifo kilichotokana kwa kunywa ulevi (alcohol) ama huko kwenu gongo.

Putin si mtu mwenye ubinadamu yuko tayari urussi wote waende na maji hajali chochote, na sasa juzi nimeona video anawatesa kwa kuwaburuta kwenye magari vijana waliopewa mafunzo halafu wakakataa kwenda vitani.
 
Kwanini isiwe kinyume chake? Tangu Mwezi March Majeshi ya Wagner yamekuwa yanapambana kuuteka mji wa Bakhmut bila mafanikio. Kila Hao Mercenary wakiingia Frontline wanafyekwa wote na ndio maana tangu Mwezi March wameshindwa kuuteka mji wa Bakhmut.

Jana,Vikosi vya Wagner vilijaribu kuuzingira mji huo baada ya kushindwa Face- to - Face Combat lakini walishindwa Pia. Wagner walipoteza wapiganaji 150 kwa CountetOffensive yao ya Jana iliyofeli.
 
Unachotamani kitokee vs hali ilivyo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20221129-144849_Google.jpg
    42.2 KB · Views: 6
Kwa hiyo Ukrainian five star General ndiye yupo front line counting Russian troops killed in action and not Ukranians troops, surprisingly, some illogical people will believe this nonsense!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…