WAKUNJOMBE
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 615
- 624
sawa mkuu...enjoyTutaleta hata arab news kama hautaki za Western, ila kichapo kiko pale pale......mpaka mtaita maji ma...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa mkuu...enjoyTutaleta hata arab news kama hautaki za Western, ila kichapo kiko pale pale......mpaka mtaita maji ma...
600 haiwezi kuwa, eneo pekee ambalo kuna closequater combat ni Bakhmut,, ambako inasemwa majeshi ya ukraine wanapukutika mno na huo mji umekaribia kutekwa na jeshi la kukodi la Russia, wagner,
Inasemwa huko kuna bloodbath, au meat grinder,, huko ndo Russia wamepanga grinding ya kukata nguvu za jeshi la ukraine,
Matokeo yake, ukraine imeshindwa ku advance sehemu zingine na wanatuma reinforcement bakhmunt kujaribu kuzuia Russia wasiuchukue mji, so kila wakituma jeshi, linafutwa,, wanatuma tena na tena, linafutwa,,
Ndio kisa cha kuitwa meat grinder
Kama Hali ingekuwa hivyo unavyosema bas urusi angeshauteka huo mji zamani sana, maana ni zaidi ya miezi 4 Sasa warusi wanapambana kuchukua huo mji lakini wameishia kuchinjwa tu, [emoji848]600 haiwezi kuwa, eneo pekee ambalo kuna closequater combat ni Bakhmut,, ambako inasemwa majeshi ya ukraine wanapukutika mno na huo mji umekaribia kutekwa na jeshi la kukodi la Russia, wagner,
Inasemwa huko kuna bloodbath, au meat grinder,, huko ndo Russia wamepanga grinding ya kukata nguvu za jeshi la ukraine,
Matokeo yake, ukraine imeshindwa ku advance sehemu zingine na wanatuma reinforcement bakhmunt kujaribu kuzuia Russia wasiuchukue mji, so kila wakituma jeshi, linafutwa,, wanatuma tena na tena, linafutwa,,
Ndio kisa cha kuitwa meat grinder
Ndo maana ya grinding,, yaani wanaenda slow but sure,, halafu jeshi la Russia halipigani hapo, ni mamluki wa wagner,, sasa jiulize vizuri,, jeshi la Russia liko wapi?Kama Hali ingekuwa hivyo unavyosema bas urusi angeshauteka huo mji zamani sana, maana ni zaidi ya miezi 4 Sasa warusi wanapambana kuchukua huo mji lakini wameishia kuchinjwa tu, [emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Lakini pia uskose kujiuliza kwa nini urusi walifanya mobilization ?Ndo maana ya grinding,, yaani wanaenda slow but sure,, halafu jeshi la Russia halipigani hapo, ni mamluki wa wagner,, sasa jiulize vizuri,, jeshi la Russia liko wapi?
Mobilisation bado wapo training,, hii vita itachukua miaka hata 5,,Lakini pia uskose kujiuliza kwa nini urusi walifanya mobilization ?
Za kunyapianyapia ni kwamba Kuna second mobilization itatangazwa siku si nyingi,[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Duh! Huu utakuwa mjadala mrefu sana..,naishia hapaMobilisation bado wapo training,, hii vita itachukua miaka hata 5,,
Sasa piga hesabu hizi,, Russia waliingiza ukraine wanajeshi 150,000,
Askari wote wa Russia, active force ni jaribu 800,000,
Tuseme tu, wale wa mwanzo wamekufa nusu, wakabaki 70,000,
Wagner usiwahesabu,,
Askari 500,000 wa Russia wako wapi?
hajui etiTakwimu halisi za loses za kila upande tutajua vita ikiisha!Kwasasa ni mchezo wa propaganda kama sehemu ya vita!
Putin mbona ashawajibu wazazi wa wanajeshi waliokufa vitani ama vijana wa mobilization kuwa vifo vyao ni kama vile waliokufa kwa ajali za barabarani au kifo kilichotokana kwa kunywa ulevi (alcohol) ama huko kwenu gongo.Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni wanapelekwa mafunzo ya hovyo na kusukumwa frontline wakajifie, nchi yote iko kimya kwa hofu.
Kwa siku moja tu, Ukraine wameua wanajeshi 600, na hawa ni hao watoto walalahoi wanywa gongo waliokotezwa vijiweni, wanafyekwa kama senene.
================
The Ukrainian Armed Forces claimed Monday to have killed about 600 Russian servicemen in fighting over the past day, bringing the total number of Russian soldiers killed since the start of the offensive to about 88,000, according to Kiev data.
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated in a message on its Facebook social network account that some 590 Russian servicemen have been "liquidated" over the past day, bringing the total to "around 87,900".
He also highlighted that since the beginning of the invasion, 2,908 tanks, 1,899 artillery systems, 209 anti-aircraft defense systems and 395 self-propelled and armored multiple rocket launchers have been destroyed.
He also said that 278 aircraft, 261 helicopters, 1,555 drones, 531 cruise missiles, 16 ships, 4,416 vehicles and fuel tanks and 163 pieces of special equipment have also been destroyed.
"The data is being updated. Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," the Ukrainian Army General Staff has noted, against the background of recent Ukrainian advances in areas of the Kherson and Kharkov regions.
MSN
www.msn.com
Kwanini isiwe kinyume chake? Tangu Mwezi March Majeshi ya Wagner yamekuwa yanapambana kuuteka mji wa Bakhmut bila mafanikio. Kila Hao Mercenary wakiingia Frontline wanafyekwa wote na ndio maana tangu Mwezi March wameshindwa kuuteka mji wa Bakhmut.600 haiwezi kuwa, eneo pekee ambalo kuna closequater combat ni Bakhmut,, ambako inasemwa majeshi ya ukraine wanapukutika mno na huo mji umekaribia kutekwa na jeshi la kukodi la Russia, wagner,
Inasemwa huko kuna bloodbath, au meat grinder,, huko ndo Russia wamepanga grinding ya kukata nguvu za jeshi la ukraine,
Matokeo yake, ukraine imeshindwa ku advance sehemu zingine na wanatuma reinforcement bakhmunt kujaribu kuzuia Russia wasiuchukue mji, so kila wakituma jeshi, linafutwa,, wanatuma tena na tena, linafutwa,,
Ndio kisa cha kuitwa meat grinder
Unachotamani kitokee vs hali ilivyo 👇Hivi mbona Marusi sio kama wazungu wengine, ujamaa husababisha watu wanaishi kama mazombi ya kupelekeshwa na serikali, mtu mmoja kwa uchizi wake ameingiza nchi kwenye vita visivyokua na tija yoyote na kusababisha maelfu ya vifo vya vijana, ameishiwa wanajeshi mpaka anaokoteza walalahoi vijiweni wanapelekwa mafunzo ya hovyo na kusukumwa frontline wakajifie, nchi yote iko kimya kwa hofu.
Kwa siku moja tu, Ukraine wameua wanajeshi 600, na hawa ni hao watoto walalahoi wanywa gongo waliokotezwa vijiweni, wanafyekwa kama senene.
================
The Ukrainian Armed Forces claimed Monday to have killed about 600 Russian servicemen in fighting over the past day, bringing the total number of Russian soldiers killed since the start of the offensive to about 88,000, according to Kiev data.
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated in a message on its Facebook social network account that some 590 Russian servicemen have been "liquidated" over the past day, bringing the total to "around 87,900".
He also highlighted that since the beginning of the invasion, 2,908 tanks, 1,899 artillery systems, 209 anti-aircraft defense systems and 395 self-propelled and armored multiple rocket launchers have been destroyed.
He also said that 278 aircraft, 261 helicopters, 1,555 drones, 531 cruise missiles, 16 ships, 4,416 vehicles and fuel tanks and 163 pieces of special equipment have also been destroyed.
"The data is being updated. Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," the Ukrainian Army General Staff has noted, against the background of recent Ukrainian advances in areas of the Kherson and Kharkov regions.
MSN
www.msn.com
Teule kwa shetani US na shost zake wanaosapoti usagaji na ushogaTeule kwa shetani
RUSSIA TAIFA TEULESasa haya mapicha ndio mumebaki nayo, kipigo kiko pale pale....