Wewe si bure bali ushabiki wako kwa Ukraine na Mashoga wa ulaya umekupofua akili, hebu soma hapo kwa kimombo na uuambie umma chanzo cha habari hiyo ni kipi??!!--- ni lini muhanga anaweza kutangaza habari inayokwenda kinyume na yeye??!!, ili kuleta a balanced story aseme na yeye ni wanajeshi wake wangapi wamekufa.
Nimeweka na link kabisa, uko obsessed na ushoga na nilikuambia huna haja ya kuwafuata Ulaya maana uwezo huo huna kwa njaa zako hapo Tandale, mashoga utawapata wengi kuanzia Mombasa, Pwani hadi Pemba huko kwa dini yenu.
Hapa hatuzungumzii mashoga kwa minajili ya dini, weee vipi?!!, hivi akili yako ipo sawa??!!.
Shoga ni shoga tu ama awe mkristo, mbaniani, muisilamu au hata awe mpagani au asiwe na dini atabaki kuwa shoga tu, ushoga hauna dini na hakuna dini iliyotoka kwa Mungu inayoruhusu Ushoga ingawa kuna baadhi ya makanisa huko ulaya wameingiza utamaduni huo makanisani kinyume na mafundisho ya ukristo, sasa usilaumu dini kupitia mashoga bali laumu mashoga bila kuingiza dini kwani dini haziruhusu Ushoga, ninapotaja mashoga wa Ulaya na Amerika siwahusishi na dini zao bali nahusisha na tamaduni ya kishenzi ya Ushoga waliyojipangia wao wenyewe na kuitangaza, kuilinda na kuiendeleza hapa duniani.
Kumbuka, ninapoongelea Ushoga sihusishi uchafu huo na dini yoyote bali nahusisha na tamaduni chafu iliyoshikwa na watu fulani.
Umejuaje kama Ukraine anaonewa?Sitetei mtu hapa, wewe ndiye unajipendekeza kwa Rissia wakati mimi nakemea uonevu wa Russia.
Hata kama Us angemwonea yeyote ningekemea.
Maisha haya dini bali wanaoishi ndio wana dini
Huyo jamaa ana shida kichwani,kila mtu ambaye ana support Russia basi anachaguliwa na dini kabisa!Hapa hatuzungumzii mashoga kwa minajili ya dini, weee vipi?!!, hivi akili yako ipo sawa??!!.
Shoga ni shoga tu ama awe mkristo, mbaniani, muisilamu au hata awe mpagani au asiwe na dini atabaki kuwa shoga tu, ushoga hauna dini na hakuna dini iliyotoka kwa Mungu inayoruhusu Ushoga ingawa kuna baadhi ya makanisa huko ulaya wameingiza utamaduni huo makanisani kinyume na mafundisho ya ukristo, sasa usilaumu dini kupitia mashoga bali laumu mashoga bila kuingiza dini kwani dini haziruhusu Ushoga, ninapotaja mashoga wa Ulaya na Amerika siwahusishi na dini zao bali nahusisha na tamaduni ya kishenzi ya Ushoga waliyojipangia wao wenyewe na kuitangaza, kuilinda na kuiendeleza hapa duniani.
Kumbuka, ninapoongelea Ushoga sihusishi uchafu huo na dini yoyote bali nahusisha na tamaduni chafu iliyoshikwa na watu fulani.
Walioharibu ustaarabu wa dunia kina US kwakuona ushoga na usagaji kwao jambo lakawaidaMbaya zaidi yule mwanafunzi mzambia yupo kwenye hilo kundi alidhani anaachiwa kumbe anapelekwa kuuawa huyu Putin inatakiwa awafate hao watu aisee yaani kaharibu ustaarabu wa Dunia kwa vitu vigumu kwake...
Kwani hilo jambo unalazimishwa na kwa nini mnalitangaza sana Wanaume muda wote kuwaandika hao watu napata mashaka sana kwa kweli...Walioharibu ustaarabu wa dunia kina US kwakuona ushoga na usagaji kwao jambo lakawaida
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata usipopata mashaka tutawaambia tu ukweli hata mkichukiaKwani hilo jambo unalazimishwa na kwa nini mnalitangaza sana Wanaume muda wote kuwaandika hao watu napata mashaka sana kwa kweli...