Wanajeshi 600 kuuawa kwa siku moja, hivi Putin huwa anawajibu nini wazazi wa hawa vijana

Wewe si bure bali ushabiki wako kwa Ukraine na Mashoga wa ulaya umekupofua akili, hebu soma hapo kwa kimombo na uuambie umma chanzo cha habari hiyo ni kipi??!!--- ni lini muhanga anaweza kutangaza habari inayokwenda kinyume na yeye??!!, ili kuleta a balanced story aseme na yeye ni wanajeshi wake wangapi wamekufa.

Nimeweka na link kabisa, uko obsessed na ushoga na nilikuambia huna haja ya kuwafuata Ulaya maana uwezo huo huna kwa njaa zako hapo Tandale, mashoga utawapata wengi kuanzia Mombasa, Pwani hadi Pemba huko kwa dini yenu.
 
Kama wangekuwa wanakufa kwa idadi hiyo kwa siku kusingekuwa na jeshi la Urusi tena na vita vingekuwa vimesitishwa zamana na Ukraine kutangazwa mshindi.
 
Nimeweka na link kabisa, uko obsessed na ushoga na nilikuambia huna haja ya kuwafuata Ulaya maana uwezo huo huna kwa njaa zako hapo Tandale, mashoga utawapata wengi kuanzia Mombasa, Pwani hadi Pemba huko kwa dini yenu.

Hapa hatuzungumzii mashoga kwa minajili ya dini, weee vipi?!!, hivi akili yako ipo sawa??!!.

Shoga ni shoga tu ama awe mkristo, mbaniani, muisilamu au hata awe mpagani au asiwe na dini atabaki kuwa shoga tu, ushoga hauna dini na hakuna dini iliyotoka kwa Mungu inayoruhusu Ushoga ingawa kuna baadhi ya makanisa huko ulaya wameingiza utamaduni huo makanisani kinyume na mafundisho ya ukristo, sasa usilaumu dini kupitia mashoga bali laumu mashoga bila kuingiza dini kwani dini haziruhusu Ushoga, ninapotaja mashoga wa Ulaya na Amerika siwahusishi na dini zao bali nahusisha na tamaduni ya kishenzi ya Ushoga waliyojipangia wao wenyewe na kuitangaza, kuilinda na kuiendeleza hapa duniani.

Kumbuka, ninapoongelea Ushoga sihusishi uchafu huo na dini yoyote bali nahusisha na tamaduni chafu iliyoshikwa na watu fulani.
 
Watu wa hiyo dini siku hizi mumeishiwa hoja haipiti siku hamjataja shoga, ukizongatia huko pwani ndio kunaongoza kwa ushoga na huko ndio mko wengi inaleta mantiki kwa nini mko obsessed na ushoga.
 
Sitetei mtu hapa, wewe ndiye unajipendekeza kwa Rissia wakati mimi nakemea uonevu wa Russia.
Hata kama Us angemwonea yeyote ningekemea.
Maisha haya dini bali wanaoishi ndio wana dini
Umejuaje kama Ukraine anaonewa?
 
Hapa hatuzungumzii mashoga kwa minajili ya dini, weee vipi?!!, hivi akili yako ipo sawa??!!.

Shoga ni shoga tu ama awe mkristo, mbaniani, muisilamu au hata awe mpagani au asiwe na dini atabaki kuwa shoga tu, ushoga hauna dini na hakuna dini iliyotoka kwa Mungu inayoruhusu Ushoga ingawa kuna baadhi ya makanisa huko ulaya wameingiza utamaduni huo makanisani kinyume na mafundisho ya ukristo, sasa usilaumu dini kupitia mashoga bali laumu mashoga bila kuingiza dini kwani dini haziruhusu Ushoga, ninapotaja mashoga wa Ulaya na Amerika siwahusishi na dini zao bali nahusisha na tamaduni ya kishenzi ya Ushoga waliyojipangia wao wenyewe na kuitangaza, kuilinda na kuiendeleza hapa duniani.

Kumbuka, ninapoongelea Ushoga sihusishi uchafu huo na dini yoyote bali nahusisha na tamaduni chafu iliyoshikwa na watu fulani.
Huyo jamaa ana shida kichwani,kila mtu ambaye ana support Russia basi anachaguliwa na dini kabisa!
Narrow minded people ndio wako hivyo!
 
Mbaya zaidi yule mwanafunzi mzambia yupo kwenye hilo kundi alidhani anaachiwa kumbe anapelekwa kuuawa huyu Putin inatakiwa awafate hao watu aisee yaani kaharibu ustaarabu wa Dunia kwa vitu vigumu kwake...
 
Walioharibu ustaarabu wa dunia kina US kwakuona ushoga na usagaji kwao jambo lakawaida

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hilo jambo unalazimishwa na kwa nini mnalitangaza sana Wanaume muda wote kuwaandika hao watu napata mashaka sana kwa kweli...
Hata usipopata mashaka tutawaambia tu ukweli hata mkichukia

Kwani RUSSIA aliwalazimisha kwenye hayo anayoyafanya mnayosema kaharibu DUNIAA !!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafsri ya Mwanajeshi ni kura kiapo kulinda Taifa ikiwemo kufia Vitani. Pia unalipwa mshahara mnono kwa ajili ya kiapo hicho ambacho na Wazazi wanaridhia. Hivyo usisumbue akiri yako kuwaza kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom