ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha Odaisseh nchini Lebanon ,wanajeshi wa Israel walirazimika kurudi nyuma baada ya shambulizi hilo.
Hapo awali wapiganaji walikuwa wametaarifu kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Israel karibu na kijiji hicho ,serikali ya Israel haijatoa maoni yeyote mpaka sasa.
Hapo awali wapiganaji walikuwa wametaarifu kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Israel karibu na kijiji hicho ,serikali ya Israel haijatoa maoni yeyote mpaka sasa.