Wanajeshi 8 wa Israel wauawa kwenye shambulizi la Hizbullah

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Wanajeshi zaidi ya 8 wa Israel wameuawa na wengine 20 kujeruhiwa baada ya ambush ya kushutukiza ya wapiganaji wa hizbullah wakati wa jaribio la wanajeshi hao kuingia kwenye kijiji cha mpakani cha Odaisseh nchini Lebanon ,wanajeshi wa Israel walirazimika kurudi nyuma baada ya shambulizi hilo.
Hapo awali wapiganaji walikuwa wametaarifu kuwarudisha nyuma wanajeshi wa Israel karibu na kijiji hicho ,serikali ya Israel haijatoa maoni yeyote mpaka sasa.
 

Attachments

  • Screenshot_20241002-133823.png
    211.7 KB · Views: 1
Waisrael hawafi,sanasana hupata minor injuries
Kwasababu tu yeyote anaweza kufa haimaanishi ndiyo kila mtu ajitengenezee taarifa zake kwa kadili ajisikiavyo.
Tutakuwa fair sana kama tutajenga utamaduni wa ku cross check taarifa kutoka kwenye source yoyote ila kabla hatujai share kwenye circles zetu
 
Leo Iran majira ya usiku atapigwa kama ngoma!๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

GOD BLESS ISRAEL
 
W
Braza Israel anachapika na kukazika vizuri tu tena bila wasi,shida ni kwamba ukitaka kupigana naye unashikwa mikono.Sasa hapo utasemaje hachapiki?
Waulize ndugu zenu waarabu walichofanyiwa ndani ya siku 6!!! Ndio ujue kama Israel anachapika aliwahi chapwa na nani?!! Hisballah viongozi wao wameuliwa kama kuku ndani ya weeki1
 
Israel hawajawahi kurudi nyuma tunasubiri mwisho wa Mtanange huu alaf magaidi wavaa pedo muanze kulilia ceasefire
Wamekua Ambushed jana wale walio ingia Lebanon, waliingia mita 400 Lebanon wamepigiwa wame retreat. Kuna mpaka video maiti/Majeruhi wakisafirishwa.
Your browser is not able to display this video.


Media Za Lebanon zinareport 14 wamefariki 35 majeruhi
 
Wao waseme hajafa hata mmoja habari ya kuwa wamekufa wangapi sisi haituhusu hiyo ni juu yao sisi Iran kazi yetu ni kupiga tu
Hahahaha Iran ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท ๐Ÿคฃ ๐Ÿ˜† msianze kuomba poo moto mkianza pelekewa
 
Wamekua Ambushed jana wale walio ingia Lebanon, waliingia mita 400 Lebanon wamepigiwa wame retreat. Kuna mpaka video maiti/Majeruhi wakisafirishwa.
View attachment 3113206

Media Za Lebanon zinareport 14 wamefariki 35 majeruhi
Unajua maana ya kurudi nyuma!! Hatusemi wanajeshi wa Israel ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ hawafi hata gaza wamekufa zaidi ya 700 sasa Lebanon ๐Ÿ‡ฑ๐Ÿ‡ง wao wamekufa wangapi hadi leo??!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ