Wanajeshi 8 wa Israel wauawa kwenye shambulizi la Hizbullah

Sasa kama wameingia Lebanon wamekuwa Ambushed na kurudi zao Israel huko kunaitwaje? Kurudi mbele?
Yaani Israel irudi nyuma kisa wanajeshi 20 wamekufa?? Unadhani Gaza wanajeshi wa Israel hawakufa na bado wanapiga!! kuweni makini propaganda haitasaidia hya makundi ya kigaidi badala ya logic wanatanguliza faith wakiamini imani itawapa ushindi no wonder Nasrallah kauliwa kizembe sana
 
 

Attachments

  • Screenshot_2024-10-02-14-47-57-930.jpg
    418.5 KB · Views: 1
Acha ujinga siku zote kurudi nyuma sio kushindwa bali huwa ni kujipanga upya na kuiepuka mitego mingine ambayo ingekupa hasara zaidi.
 

Safi sana sasa hivi ni zamu yao kuhesabu casualties na maiti.

Viva Iran Viva Hizbollah

Free Palestine
 
Unajua maana ya Ambush? Unatembea barabara nyeupe let's say mpo 100 ama 500 ghafla watu wanatokea msipopajua wanaua 20 kati yenu, na wewe ni kamanda

1. Utarudi nyuma kupunguza vifo
2. Utasema argh ni watu 20 tu aluta continua tuendelee tu mbele?

Ama UNAFKIRI vita ni movie kwamba waendelee tu wakachakaze Lebanon yote?
 
W

Waulize ndugu zenu waarabu walichofanyiwa ndani ya siku 6!!! Ndio ujue kama Israel anachapika aliwahi chapwa na nani?!! Hisballah viongozi wao wameuliwa kama kuku ndani ya weeki1
Kwani hujui huyo huyo hezbollah alishamchapa israel 2006 na egypt pia alishamchapa, muwe mnasoma acheni kudanganywa na movie
 
Kurudi nyuma vitani sio hii unalosema!!!
 
Yaani ndani ya siku moja tu wameliwa vichwa wanajeshi 8 wa Israel pale Lebanon.

Hii vita ikichukua hata miezi sita pekee Israel atamaliza wanajeshi wake maana Hezbollah kwa vita vya ardhini wapo njema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…