Wanajeshi 8 wa Israel wauawa kwenye shambulizi la Hizbullah

Hongeren sana izibora kwa ushindi wa kishindo

Ila kuweni makini msije mkalipa roho 800
 
W

Waulize ndugu zenu waarabu walichofanyiwa ndani ya siku 6!!! Ndio ujue kama Israel anachapika aliwahi chapwa na nani?!! Hisballah viongozi wao wameuliwa kama kuku ndani ya weeki1
Unatuletea uongo wa 1967!?
Vipi 2006 hakuchapika huyo Israel!?
Je jana hakuchapika na Iran!?
 
Hawaja retreat na wanasonga mbele mkuu sema kwenye ambush mnatulia kidogo doesn't mean they are retreating
Acha kugeuza maneno wewe.
Hata Gaza Israel ilipotaka kuingia askari 5 waliua kwa mpigo waka retreat kwanza,after three to four days ndio wakafanya tena ground invasion na kufanikiwa kuingia Gaza.
Kiufupi hilo shambulio limewafanya IDF ku retreat.
Wacha kugeuza maneno.
 
Na Hezbollah wamekufa wangapi?
 
Acheni kujifariji na askari 8 kufa IDF tayari iko ndani ya Lebanon na top brass ya Hisbollah karibia wote wameuliwa
 
Unatuletea uongo wa 1967!?
Vipi 2006 hakuchapika huyo Israel!?
Je jana hakuchapika na Iran!?
Hahahahaahah πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ 1967 uongo gani?! Embu tufafanulie kwa mtizamo wenu magaidi 2006 Israel ilichapikaje?!!
Iran imeichapa nini Israel unajua makamanda wangapi wa iran wameuliwa miezi24 iliyopita? Nani kachapika
 
I kiona mazayuni wamekiri 8, ujuwe ni zaidi ya 80 hao.

Majeruhi wangapi? Hao ndiyo muhimu.
 
Unatuletea uongo wa 1967!?
Vipi 2006 hakuchapika huyo Israel!?
Je jana hakuchapika na Iran!?
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ zile ilmu ya madrasa mnavyodanganywa na kudanganyana ndio wanayopewa hisbollah pia ndio maana wameuliwa kama utitiri
 
Hahahahaahah πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ πŸ˜ƒ 1967 uongo gani?! Embu tufafanulie kwa mtizamo wenu magaidi 2006 Israel ilichapikaje?!!
Iran imeichapa nini Israel unajua makamanda wangapi wa iran wameuliwa miezi24 iliyopita? Nani kachapika
Shida yako akili imejifunga ndani ya boksi.
Kwa akili yako kuua makamanda kwa assassination attempts na kushambulia kwa makombora kunafanana!?
Kwani juzi Israel imerushiwa makombora mangapi na Iran?
Je hicho sio kichapo!?
*Nenda kasome Operation Bint Jubeir utaona kwanini Israel aliikimbia Bint Jubeir.
 
πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ πŸ˜† πŸ˜„ zile ilmu ya madrasa mnavyodanganywa na kudanganyana ndio wanayopewa hisbollah pia ndio maana wameuliwa kama utitiri
Mbona unaweweseka kijana!?
Mbona unaongea hueleweki!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…