Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine.

=========

The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".

He also stressed that since the beginning of the war 3,161 tanks, 2,154 artillery systems, 220 anti-aircraft systems, 290 aircraft, 281 helicopters, 1,902 drones, 749 cruise missiles, 18 ships, 4,967 vehicles and fuel tanks and 194 pieces of "special equipment" have been destroyed.

"The data is being updated," the Ukrainian Army General Staff has reviewed through its account on the social network Facebook. "Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," he concluded.
 
Kwanza Ondoa neno "mzoga" kwa binaadamu hatutumii kauli hiyo.

Pili, katika hiyo vita hakuna warudi wanaopoteza Maisha au wameingia front. Wanaopiganishwa ni mamluki kutoka nchi maskini na wafungwa. Wataalamu hawajaingia barabarani
 
Kama wameua hata mmoja na hujaweka kavideo huu ni ulongooo😅😅😅😅 leta multiple sources hapa hivi vitakwimu vya mabloga wa mtaani kaa nazo

Video za nini, hii sio movie ya Rambo na Chuck Norris, ukipigwa risasi unakufa kweli, hivi karibu wanawake watakua wengi Urusi bila wanaume, mtakodiwa kwenda kuendeleza kizazi.
 
Kwanza Ondoa neno "mzoga" kwa binaadamu hatutumii kauli hiyo.

Pili, katika hiyo vita hakuna warudi wanaopoteza Maisha au wameingia front. Wanaopiganishwa ni mamluki kutoka nchi maskini na wafungwa. Wataalamu hawajaingia barabarani

Mvamizi na mdhulimaji siku zote akifa tunaita "mzoga", hana hadhi ya kuitwa maiti, pili wanajeshi wa Urusi wamefyekwa sasa hivi mateja waliokusanywa mitaani ndio wanaendelea kuuawa kama senene.
 
Urusi waliingia choo cha kike kwenye hii vita kwa sababu Ukraine wanatumia resources za Ulaya na Marekani wakati wao wanatumia resources zao na msaada kidogo kutoka Iran (ambao wameelemewa na waandamanaji nchini kwao).

Mwisho wa hii vita ni ama Russia irudi nyuma au ishinde lakini ikiwa hoi bin taaban kiuchumi na kijamii. Lolote kati ya hayo mawili likitokea Russia bado watakuwa ndio loser wa hii vita
 
Nakazia [emoji848][emoji848]🥱[emoji848]🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱🥱
1674635608730.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Video za nini, hii sio movie ya Rambo na Chuck Norris, ukipigwa risasi unakufa kweli, hivi karibu wanawake watakua wengi Urusi bila wanaume, mtakodiwa kwenda kuendeleza kizazi.
Kama sio movie tuache makelele tusubirie matokeo 😎
 
Back
Top Bottom