Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp pale Somalia KDF wamekufa wangapi?Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine...
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".
He also stressed that since the beginning of the war 3,161 tanks, 2,154 artillery systems, 220 anti-aircraft systems, 290 aircraft, 281 helicopters, 1,902 drones, 749 cruise missiles, 18 ships, 4,967 vehicles and fuel tanks and 194 pieces of "special equipment" have been destroyed.
"The data is being updated," the Ukrainian Army General Staff has reviewed through its account on the social network Facebook. "Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," he concluded.
MSN
www.msn.com
Ndiovyo ulivyoambiwa??^Kwanza Ondoa neno "mzoga" kwa binaadamu hatutumii kauli hiyo.
Pili, katika hiyo vita hakuna warudi wanaopoteza Maisha au wameingia front. Wanaopiganishwa ni mamluki kutoka nchi maskini na wafungwa. Wataalamu hawajaingia barabarani
Hata na mimi na shangaa[emoji848]Yaani mizoga ya wanajeshi wa urusi itapakae Ukraine alafu CNN na BBC wawe kimya ?
Hahaha yani mwanazengo hujui hata kutofoutisha propaganda na habari official haha pole sana. Sasa Kama wamekufa wanajeshi 900 leo, unategemea Ukraine wamekufa wangapi. Na huko walikofia ni wapi maana convoys tayari zinaingia Ugledar tangia mchana sasa husomeki.Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine...
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".
He also stressed that since the beginning of the war 3,161 tanks, 2,154 artillery systems, 220 anti-aircraft systems, 290 aircraft, 281 helicopters, 1,902 drones, 749 cruise missiles, 18 ships, 4,967 vehicles and fuel tanks and 194 pieces of "special equipment" have been destroyed.
"The data is being updated," the Ukrainian Army General Staff has reviewed through its account on the social network Facebook. "Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," he concluded.
MSN
www.msn.com
URAAAAAAAAAA🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺Mizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine...
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".
He also stressed that since the beginning of the war 3,161 tanks, 2,154 artillery systems, 220 anti-aircraft systems, 290 aircraft, 281 helicopters, 1,902 drones, 749 cruise missiles, 18 ships, 4,967 vehicles and fuel tanks and 194 pieces of "special equipment" have been destroyed.
"The data is being updated," the Ukrainian Army General Staff has reviewed through its account on the social network Facebook. "Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," he concluded.
MSN
www.msn.com
Kuna mateja mpaka waafrika .Mvamizi na mdhulimaji siku zote akifa tunaita "mzoga", hana hadhi ya kuitwa maiti, pili wanajeshi wa Urusi wamefyekwa sasa hivi mateja waliokusanywa mitaani ndio wanaendelea kuuawa kama senene.
Hahaha yani mwanazengo hujui hata kutofoutisha propaganda na habari official haha pole sana. Sasa Kama wamekufa wanajeshi 900 leo, unategemea Ukraine wamekufa wangapi. Na huko walikofia ni wapi maana convoys tayari zinaingia Ugledar tangia mchana sasa husomeki.
Huyo Mk254 Utafikiri ndio taifa lenyewe la Ukraine 🤔Ni mji huo aisee? Naona Ukrein anashinda sana twitter na facebook
leta multiple sources hapa kila kitu kipo mtandaoniTulisubiri matokeo ya limsafara la kwenda kuteka Kyev, ila lilifyekwa lote.
Kama Russia ilipoteza 20,000 fighters je Ukraine na NATO walipoteza wangapi?!Kamji ka chumvi ka watu 10,000 kalisababisha urusi ipoteze wanajeshi 20,000 na bado hakakutekwa kote
Kama Russia ilipoteza 20,000 fighters je Ukraine na NATO walipoteza wangapi?!
Nashangazwa mno na comments za Pro-NATO humu...you coming with arguments as if Mambo ni mazuri kwa NATO and Ukraine...
For your information hali ni mbaya mno kwa NATO...
The Russians have dug in kwenye maeneo yote they have annexed ...it will be very difficult kuwaondoa...
Russia pia inaandaa fronts tatu za kuiteketeza kabisa Ukraine...
Hoja au comment yako ni ya kitoto na kutoka kwa mtu mjinga kabusa...Nadhani pro-NATO Kuna watu wajinga Sana...nasema wajinga nikimaanisha hawajui Kama NATO ndiyo Yuko vitani na Russia....Jana foreign minister wa Ujerumani amesema NATO iko vitani na Russia...halafu wewe mtu wa Kibera bado umeng'ang'ania kiujinga ujinga kuwa eti Russia anapugana na Ukraine na siyo NATO... Duh..NATO haipigani....Urusi na minguvu yote ile useless analemazwa na kainchi kadogo...takbirr
Halafu Urusi inapigwa pini na dunia, hata mataifa ya waarabu hivi karibuni yatatia pini... Taifa la Bangladesh 89% dini ileee na wao wamepiga pini https://www.jamiiforums.com/threads...elea-kutengwa-na-dunia.2059976/#post-45089947
Hoja au comment yako ni ya kitoto na kutoka kwa mtu mjinga kabusa...Nadhani pro-NATO Kuna watu wajinga Sana...nasema wajinga nikimaanisha hawajui Kama NATO ndiyo Yuko vitani na Russia....Jana foreign minister wa Ujerumani amesema NATO iko vitani na Russia...halafu wewe mtu wa Kibera bado umeng'ang'ania kiujinga ujinga kuwa eti Russia anapugana na Ukraine na siyo NATO... Duh..