Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

Wasoja wa urusi wanapukutika kama kuku, Putin hadi anafosi waafrika waliozamia urusi waende kupigana Ukraine!
 
Mnakaaa mnawaza uongo gani mseme mnasema mmeua wakati huo huo mnapoteza maeneo...
 
Kama kwenye hivyo vita amekufa hadi mtanzania hata wakiniambia wamekufa wanajeshi 3000 wa urusi kwa siku siwezi kubisha.
 
Back
Top Bottom