EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Unaokoteza habari ngoja nikupe ya wenyewe Ukreine wakikiri kupokea kichapo"Multiple source" ndio inapigana? Kipigo kiko pale pale...mizoga 900
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaokoteza habari ngoja nikupe ya wenyewe Ukreine wakikiri kupokea kichapo"Multiple source" ndio inapigana? Kipigo kiko pale pale...mizoga 900
👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻"Multiple source" ndio inapigana? Kipigo kiko pale pale...mizoga 900
Weka kapichaHiyo mizoga 900 haifufuki tena... mwendo huo huo tu...tena kwenye nchi ya watu.
taarifa za uongo iziiMizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine...
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".
He also stressed that since the beginning of the war 3,161 tanks, 2,154 artillery systems, 220 anti-aircraft systems, 290 aircraft, 281 helicopters, 1,902 drones, 749 cruise missiles, 18 ships, 4,967 vehicles and fuel tanks and 194 pieces of "special equipment" have been destroyed.
"The data is being updated," the Ukrainian Army General Staff has reviewed through its account on the social network Facebook. "Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," he concluded.
MSN
www.msn.com
We takwimu zako unatoaga wapi?🤣🤣🤣🤣Hiyo Soledar mlipoteza 20,000 kwenye kamji ka chumvi kenye watu 10,000 na hamkuparamia kote, subiri vifaru vifike...
Hayo ya 'povu' na 'mtakoma' ndiyo utoto na ujinga wenyewe ninaozungumzia...watoto ndio ambao kwenye mijadala na 'misuguano' yao ndio ambao hupiga kelele ya 'povu' na 'mtakoma'Hehehe povu na bado mtakoma.....takbirr
Kawasaidie wenzako hapo Migingo Island kabla General Muhozi Kainerugaba hajakiwasha mpaka Nairobi.Hehehe povu na bado mtakoma.....takbirr
Hayo ya 'povu' na 'mtakoma' ndiyo utoto na ujinga wenyewe ninaozungumzia...watoto ndio ambao kwenye mijadala na 'misuguano' yao ndio ambao hupiga kelele ya 'povu' na 'mtakoma'
Mzee wa ushuzi mrefu kaziniMizoga ya Warusi inaendelea kutapakaa Ukraine...
The General Staff of the Ukrainian Army has indicated that 910 Russian servicemen have been killed during the last 24 hours and added that so far the clashes have resulted in more than 123,000 Russian soldiers "liquidated".
He also stressed that since the beginning of the war 3,161 tanks, 2,154 artillery systems, 220 anti-aircraft systems, 290 aircraft, 281 helicopters, 1,902 drones, 749 cruise missiles, 18 ships, 4,967 vehicles and fuel tanks and 194 pieces of "special equipment" have been destroyed.
"The data is being updated," the Ukrainian Army General Staff has reviewed through its account on the social network Facebook. "Beat the occupier. Let's win together. Our strength is in the truth," he concluded.
MSN
www.msn.com
Pro Russia hawapigi kelele hata siku moja '''wengi wao huleta facts humu.....Watu kama ninyi wewe wa kibera akina 'ki-rat' na wenzenu wengi akina vunjo sijui Fuso na kadhalika ndio wapiga kelele humu....Yaani kazi yenu kushabikia tu bila facts...mwingine utamsikia akisema 'soledar' haijatekwa, mwingine 'warusi wachinjwa'', mwingine utasikia anakuja na ukelele 'heheheheh' utadhani tuko kwenye singeli......duhhehehe mbele kwa mbele.... haya na hii pia jumuisha humo "mtakomeshwa"..... Mumetulia yale makelele mlikua mnatupigi humu....safi sana takbir
Pro Russia hawapigi kelele hata siku moja '''wengi wao huleta facts humu.....Watu kama ninyi wewe wa kibera akina 'ki-rat' na wenzenu wengi akina vunjo sijui Fuso na kadhalika ndio wapiga kelele humu....Yaani kazi yenu kushabikia tu bila facts...mwingine utamsikia akisema 'soledar' haijatekwa, mwingine 'warusi wachinjwa'', mwingine utasikia anakuja na ukelele 'heheheheh' utadhani tuko kwenye singeli......duh
kuamin mkenya heri nguruweTaarifa za Kyev kutekwa na Urusi ndani ya wiki ni za kweli...niamini mimi nakuambia...takbirr
Wewe na huyo mtoa mada...wote walewale to...Urusi waliingia choo cha kike kwenye hii vita kwa sababu Ukraine wanatumia resources za Ulaya na Marekani wakati wao wanatumia resources zao na msaada kidogo kutoka Iran ( ambao wameelemewa na waandamanaji nchini kwao) . Mwisho wa hii vita ni ama Russia irudi nyuma au ishinde lakini ikiwa hoi bin taaban kiuchumi na kijamii. Lolote kati ya hayo mawili likitokea Russia bado watakuwa ndio loser wa hii vita
Hivi Unadhani US wamepotea njia kuiheshimisha PMC, the Wagner?? Walipata kichapo cha ukweli.Kamji ka chumvi ka watu 10,000 kalisababisha urusi ipoteze wanajeshi 20,000 na bado hakakutekwa kote