Wanajeshi 900 wa Urusi wameuawa ndani ya masaa 24

"Multiple source" ndio inapigana? Kipigo kiko pale pale...mizoga 900
šŸ‘‡šŸ»šŸ‘‡šŸ»šŸ‘‡šŸ»šŸ‘‡šŸ»
 
Attachments

  • Screenshot_20230125-213352_Chrome.jpg
    327 KB · Views: 1
Unaokoteza habari ngoja nikupe ya wenyewe Ukreine wakikiri kupokea kichapo

Hiyo mizoga 900 haifufuki tena... mwendo huo huo tu...tena kwenye nchi ya watu.
 
taarifa za uongo izii
 
Hiyo Soledar mlipoteza 20,000 kwenye kamji ka chumvi kenye watu 10,000 na hamkuparamia kote, subiri vifaru vifike...
We takwimu zako unatoaga wapi?🤣🤣🤣🤣
 
Hehehe povu na bado mtakoma.....takbirr
Hayo ya 'povu' na 'mtakoma' ndiyo utoto na ujinga wenyewe ninaozungumzia...watoto ndio ambao kwenye mijadala na 'misuguano' yao ndio ambao hupiga kelele ya 'povu' na 'mtakoma'
 
Hayo ya 'povu' na 'mtakoma' ndiyo utoto na ujinga wenyewe ninaozungumzia...watoto ndio ambao kwenye mijadala na 'misuguano' yao ndio ambao hupiga kelele ya 'povu' na 'mtakoma'

hehehe mbele kwa mbele.... haya na hii pia jumuisha humo "mtakomeshwa"..... Mumetulia yale makelele mlikua mnatupigi humu....safi sana takbir
 
Mzee wa ushuzi mrefu kazini
 
hehehe mbele kwa mbele.... haya na hii pia jumuisha humo "mtakomeshwa"..... Mumetulia yale makelele mlikua mnatupigi humu....safi sana takbir
Pro Russia hawapigi kelele hata siku moja '''wengi wao huleta facts humu.....Watu kama ninyi wewe wa kibera akina 'ki-rat' na wenzenu wengi akina vunjo sijui Fuso na kadhalika ndio wapiga kelele humu....Yaani kazi yenu kushabikia tu bila facts...mwingine utamsikia akisema 'soledar' haijatekwa, mwingine 'warusi wachinjwa'', mwingine utasikia anakuja na ukelele 'heheheheh' utadhani tuko kwenye singeli......duh
 
Facts zipi.....nakumbuka mlivyokomeshwa kwa haya makelele https://www.jamiiforums.com/threads...-kumtorosha-kyiv-asikamatwe-na-putin.1960274/
 
Wewe na huyo mtoa mada...wote walewale to...
'if wishes were horses, beggars would ride"

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…