King Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2023
- 1,399
- 2,110
haram kenyaTakbirr.. hivi hua mnaruhusiwa kutaja nguruwe maana ni haram...
Kwahiyo yule Mtanzania aliyefia Ukraine kama askari wa Urusi sio kweli?Kama wameua hata mmoja na hujaweka kavideo huu ni ulongooo😅😅😅😅 leta multiple sources hapa hivi vitakwimu vya mabloga wa mtaani kaa nazo
kwaio huyo alikufa kati ya hao 900?Kwahiyo yule Mtanzania aliyefia Ukraine kama askari wa Urusi sio kweli?
Muulize Waziri wa Ulinzi wa Tanzania Dk. Stargomena Tax.kwaio huyo alikufa kati ya hao 900?
labda kwa watu wa MnyaziiHaram ilmu ya dunia