Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

Kama una uhakika anamtishia maisha na ushahidi upo niambie nikupe njia sahihi ya kwenda kumuwajibisha huyo jamaa ila cha msingi awe mkeo au mchumba ambaye ni rasmi mpo kwenye mikakati ya ndoa , barua, au utambulisho unajulikana kanisani au kwa wazazi wenu wote.
KiukweLi hatuko kwenye mikakati yyte ya ndoa ila tuna mipango mkuu we nipe hata hyo mbinu kwani mm na huyu mschana tunapndana tuna muda mrefu saNa lkn kwa week hz 2 namuona kbsa mschana wangu anakosa raha kbsa
 
Daah

Daah hii situation nayopitia ni ngumu mkuu roho inaniuma sana huwez amini
Una ajira au biashara yeyote? Au upo upo home tu unasikilizia michongo?

Kama bado kula kulala huwezi kumiliki mwanamke mzuri iko liweke akili ni, wanawake wana mahitaji yao ambayo bill anacover mwanaume, kama huna michongo ya pesa achana na biashara ya mapenzi utapotea, huyo mjeda kila tarehe 25 anapata mshahara na posho huwezi kushindana naye kwa mademu hawa wa kisasa wenye DNA ya pesa unless uwe na kitu unique mwanamke anakifuata kwako basi hapo hata pesa ya Mjeshi mtakula wote na huyo demu.
 
Una ajira au biashara yeyote? Au upo upo home tu unasikilizia michongo?

Kama bado kula kula kulala huwezi kumiliki mwanamke mzuri iko liweke akili ni, wanawake wana mahitaji yao ambayo bill anacover mwanaume, kama huna michongo ya pesa achana na biashara ya mapenzi utapotea, huyo mjeda kila tarehe 25 anapata mshahara na posho huwezi kushindana naye kwa mademu hawa wa kisasa wenye DNA ya pesa unless uwe na kitu unique mwanamke anakifuata kwako basi hapo hata pesa ya Mjeshi mtakula wote na huyo demu.
Mm nmejiajiri mkuu pesa za kubadilisha nguo na kumnunulia mamtu vtu vyake havnpg chenga
 
Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu.

Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi.

Wakuu, naumia roho sana namuona kioenzi changu anakosa furaha kisa mtu mmoja tu.

Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.
Demu wako mwenyewe ana maoni gani mKuu?
 
Back
Top Bottom