Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ulitegemea akwambie kuwa nishalala nae?Sijajua kama mwanajeshi amewahi kumkula huyu manz ila manzi ananambia hajawah kutembea nae sema ukweli y ndo anauju lkn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitegemea akwambie kuwa nishalala nae?Sijajua kama mwanajeshi amewahi kumkula huyu manz ila manzi ananambia hajawah kutembea nae sema ukweli y ndo anauju lkn
Ukiona manyowa?.......…Ulitegemea akwambie kuwa nishalala nae?
Kuku kachinjwaUkiona manyowa?.......…
Hawez kukuelewa huyuUnakuta unapigwa biti na NCO
Tafuta hela tu hao watu wanaheshima sana tu
Na kweali hata sijamuelewa hyo NCO amemaanisha nini spidernyokaHawez kukuelewa huyu
😁 kambini tena hunitakii mema labda mtaaNi sawaNenda kambini kwao kamchane live kijana
Hizi coments zenu zinauchoma moyo waNguKuku kachinjwa
Ukiiva moyo wako mpe mjeda akule ashibeHizi coments zenu zinauchoma moyo waNgu
Huyo lazima nimgonge utake usitake! Labda uhame!Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu.
Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi.
Wakuu, naumia roho sana namuona kioenzi changu anakosa furaha kisa mtu mmoja tu.
Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.
Sawa ila jiandae kuanza kuwehuka hutobaKi salamaHuyo lazima nimgonge utake usitake! Labda uhame!
Kwamba ameamua kunitishia au...?Itakuwa humpendi huyo mwanamke, maana the things mtu aliyependa anaweza kukufanya ukitishia penzi lake, hata shetani anakaa pembeni ajifunze 😂
si ukute ulimkuta naye, ameshagaramia sana, afu wewe unataka kuchuma. kwa akili ya kawaida hata uwe na cheo gani kama hakuna hasara mwanamke amekuingiza, utamtishiaje? akisema tu sikutaki nenda kwengine, utalazimishaje awe kwako? hapo mwenye shida ni mwanamke wako, mwambie afunguke vizuri, amekula vya watu huyo na hayo aliyomfanyia mjeshi kuna siku atakufanyia na wewe. acheni umalaya. afu, huyo mwanamke angekuwa anakuhitaji kweli, angeshampa makavu mazito na mjeshi wala asingeendelea kumng'ang'ania. hapo huna mwanamke.Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu.
Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi.
Wakuu, naumia roho sana namuona kioenzi changu anakosa furaha kisa mtu mmoja tu.
Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.
Sasa nakushauri wwe aanza process za kupeleka mahari ukweni ili upewe hati miliki ya kumiliki hicho chombo, la sivyo hadi Sasa wwe na mjeshi mnacheza kamari kwa huyo Demu! Na mnaweza kuta wote mkamkosa akaja wakuja na akachukua jumla!!Aaah!!! Sio kweLi mjeda anampa vtu demu lkn demu anavkataa sema haelewi kabsa huyu mjeshi