Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

Hayajuagi kutongoza hayo, hayako romantic. Mjeda hutanguliza sana pesa, wao ni pesa mbele.

Huyo dem wako ukianza kuona mabadiliko tu mara kanunua hiki mara kile ujue mjeda keshatia tim. Hawaonagi noma kumpa robotatu ya mshahara kila mwezi.

Mbona simple tu kuwapotezea watu wa sampuli hiyo. We uwe unampa mbinu manzi yako na umtoe hofu kua wewe utamlinda. Huo unyonge wako ataliwa kweli.
 
Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.

Inawezekana ni huyu 👇

Inawezekana ni huyu 👇

Kabsa yaaNi maan inawezekana maan hata tabia zao hawa zaendana afu wote ni morogoro shenzi zao
 
Hayajuagi kutongoza hayo, hayako romantic. Mjeda hutanguliza sana pesa, wao ni pesa mbele.

Huyo dem wako ukianza kuona mabadiliko tu mara kanunua hiki mara kile ujue mjeda keshatia tim. Hawaonagi noma kumpa robotatu ya mshahara kila mwezi.

Mbona simple tu kuwapotezea watu wa sampuli hiyo. We uwe unampa mbinu manzi yako na umtoe hofu kua wewe utamlinda. Huo unyonge wako ataliwa kweli.
Hapa ww umenipa ushauri sahihi kabsa kesho naenda kukutana nae manzi wangu
Ntqmpanga hvo na kumpa moyo aache uoga ila kama ipoipo tu
 
Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu.

Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi.

Wakuu, naumia roho sana namuona kioenzi changu anakosa furaha kisa mtu mmoja tu.

Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.
Jinai haijadiliwi.
Jinai hushughuliliwa na polisi.....
 
Kama una uhakika anamtishia maisha na ushahidi upo niambie nikupe njia sahihi ya kwenda kumuwajibisha huyo jamaa ila cha msingi awe mkeo au mchumba ambaye ni rasmi mpo kwenye mikakati ya ndoa , barua, au utambulisho unajulikana kanisani au kwa wazazi wenu wote.
Hao dawa yao ndogo, nikijua jina lake kamili tu afu nikaenda kikosi anachofanyia kazi, ameisha.
 
Yaani anamsumbuaje??
Sijui nikwambie ukweli?? Au acha nikuache tuu uendelee kufikiria mpenzi wako anasumbuliwa.
Embu mpe ukweli utupe Siri zenu na nyie maana mna mambo ninyi viumbe vya kike sio poa, isiwe mwanetu analialia bure kule
 
Bro hamna mwanamke anayesumbuliwa na mwanaume ni either alishakula pesa za huyo mwanaume au wapo kwenye mahusiano na hapo msumbufu ni wewe.
Fundi bishoo ichukue hii kutoka kwa Hannah montana, ukibisha utajuta
 
Unasema anafikia hatua ya kumtishia mpenzi wako hadi maisha,wewe hujui cha kufanya,aisee acha uoga,kama una ushahidi dili naye.
 
KUkuachia siwezi tena siku ukinikuta niko nae kama kunipga utanipga uniuwe hata uwe na wajeda wenzio demu skuachii tena kesho jpili nakwenda mtaan kwao we njoo tu saa 1 usku ntakua kwao maan nataka sana nkujue uskute kuruti ww
Si ndio leo,sawa nenda
 
Jiandae kuleta mrejesho maana una kiburi dogo nishakuonya kaa mbali na huyo demu
 
Jiandae kuleta mrejesho maana una kiburi dogo nishakuonya kaa mbali na huyo demu
Sawa tena tutaonana nko njian naelkea kwao njoo tena nafkia kwao kbsa njoo tupgane uskmblie kuketa wenzio
 
Back
Top Bottom