JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 7,808
- 16,972
Sasa kama mimi mjeda,harafu dem wangu achukuliwe na boya mmoja, unataka nikubali kirahisi kama raia? Sasa usoja wa, nini? Nilienda depo kwa, ajiri ya nini?Kwema niko chaka mji kasoro bahari huku nimepata mwanamke mzuri sana ananipenda tena yuko vzr haswaa ila changamoto ni Hawa jamaa sijui wapoje ningekua na uwezo wa kumroga ningemroga uyu jamaa anamsumbua demu wangu.
Mda mrefu sasa anafkia hatua ya kumtishia maisha kisa yy mjeshi.
Wakuu, naumia roho sana namuona kioenzi changu anakosa furaha kisa mtu mmoja tu.
Kama upo humu ww mjeda acha kufosi tafuta wako pesa na soon naenda kukupga kimbola naenda Tanga kununua uchawi ww s unarngia madaraka afu mtu mwenyewe kuruti hana vyeo hauna.
Ni sawa sawa na engineer wa umeme, switch isumbue, harafu nite fundi wa kitaa, mi nakubonda live! Nenda polisi!
Let's be honest bro! Hata ungekuwa wewe, mtu achukue dem wako, harafu ukubali kirahisi? Aah,wapi!! Raia tu huwa, wanapigana, sembuse uguse dem wa soja!!