Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

KiukweLi hatuko kwenye mikakati yyte ya ndoa ila tuna mipango mkuu we nipe hata hyo mbinu kwani mm na huyu mschana tunapndana tuna muda mrefu saNa lkn kwa week hz 2 namuona kbsa mschana wangu anakosa raha kbsa
 
Daah

Daah hii situation nayopitia ni ngumu mkuu roho inaniuma sana huwez amini
Una ajira au biashara yeyote? Au upo upo home tu unasikilizia michongo?

Kama bado kula kulala huwezi kumiliki mwanamke mzuri iko liweke akili ni, wanawake wana mahitaji yao ambayo bill anacover mwanaume, kama huna michongo ya pesa achana na biashara ya mapenzi utapotea, huyo mjeda kila tarehe 25 anapata mshahara na posho huwezi kushindana naye kwa mademu hawa wa kisasa wenye DNA ya pesa unless uwe na kitu unique mwanamke anakifuata kwako basi hapo hata pesa ya Mjeshi mtakula wote na huyo demu.
 
Mm nmejiajiri mkuu pesa za kubadilisha nguo na kumnunulia mamtu vtu vyake havnpg chenga
 
Demu wako mwenyewe ana maoni gani mKuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…