Wanajeshi acheni ubabe, mapenzi hayafosiwi. Kwa nini ufosi ikiwa mtu hakutaki?

Acha wabebe tu hyo bandari ila kwa huyu msichana navompenda bandari haina maana kwangu nimependa kijana wenu sioni wala sisikii
Daaah aiseee huu moyo Wa kupenda hiv mmeutoa wapi kituko cha shetan kina kuja muda s mwingi
 
Wapi washenI tu wanapenda kutumia pesa kama silaha kwa mademu wenye tamaa

Ndio utamu wenyewe huo vacation Dubai mengine hayatuhusu[emoji23][emoji23]

Halafu wanajua kupenda na likikupenda unalipelekesha tu kila unachotaka anakupaa

Oyaaa wajeda wote nawakubali sana kwenye suala la mapenzi
 
Nmetokanmda mrefu nko uku morogoro kwa sas nlkuja kuja kula maisha na my wangu ila dah roho inaniuma
Achana na madem wa kibongo awanaga chaguo maarum had wakifikisha miaka 35 ndo wanaanza kupoa wenge rudi madagasca tafuta pisi kariii afu rud bongo ulingishie.

Uyo dem wa kibongo unae muina anakupenda sana unapo kuwa madagasca mjeda anamkaza
Na kwako ana winda pesa zako na promo za kuishi nje ya nchi



Sent from my TECNO KI7 using JamiiForums mobile app
 
Ukweli mchungu huu
 
Kuruti ni kimashine kidogo cha jeshi..

Sasa wewe endelea kuzania demu wako mjeda ana msumbua.

Piga chini tafuta demu mwingine.
 
Akileta undezi tia sumu tu. Mambo mengine ya kif*la sana
 
Oyaah mkuu huyo Mjeda ulimzabua..au ndio swaga za Mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…