Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

Joined
Jan 6, 2022
Posts
56
Reaction score
336
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.

Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na iran yaliyopo Iraq.

Marekani imetoa taarifa ya kuthibitisha kushambuliwa Kwa kambi yake ya kijeshi nchini iraq.

Kambi hiyo ya marekani inayoitwa Al-Asad airbase imeshambuliwa Kwa bomu na roketi

Source: ‘Several’ US personnel injured in rocket attack on Iraq base | CNN Politics
 
Unapoweka habari ni vyema kuweka na chanzo cha habari yako
 
Hii habari umeitoa wapi ?
🇺🇸🇮🇶BREAKING:

A plane carrying dead and wounded American soldiers takes off from Ain al-Assad base in Iraq.

Archive illustrative image.
 
Attachments

  • IMG_20240806_035009.jpg
    IMG_20240806_035009.jpg
    311.6 KB · Views: 4
Unapoweka habari ni vyema kuweka na chanzo cha habari yako
⚡️🇺🇸🇮🇶JUST IN:

U.S president Joe Biden received news of the targeting of the American base Ain Al-Asad in western Iraq during an expanded meeting on the Middle East situation.
 
Attachments

  • IMG_20240806_040300.jpg
    IMG_20240806_040300.jpg
    376 KB · Views: 2
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.

Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na iran yaliyopo Iraq.

Marekani imetoa taarifa ya kuthibitisha kushambuliwa Kwa kambi yake ya kijeshi nchini iraq.

Kambi hiyo ya marekani inayoitwa Al-Asad airbase imeshambuliwa Kwa bomu na roketi

Source: ‘Several’ US personnel injured in rocket attack on Iraq base | CNN Politics
Ummah wa uislamu imefikia wakati wote kwa pamoja tuondoe tofauti, chuki na itikadi zetu na kuziweka pembeni tumkabidhi maisha yetu yote kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ili tushinde.

Yani ushindi hupo waziwazi kweuupe kwasababu ya Tawfiq mwamba aliyoipigania tumemiminiwa kila siku .

Mwamba alikan nafsi na maisha yake kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu. Leo tunajivunia kuwa na uhakika wa Janah na Firdaus.

Tukiungana na kumtegemea Imaam tutashinda.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

0_eXgEI17pcqCS8ew8.jpg

Tayana-wog Code 255 Malaria 2
 
View attachment 3062631

Tayana-wog Code 255 Malaria 2
We shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengine
 
Hivi Israel au USA akituma bomu huwa linaulizwa wewe ni shia au suni? Acha upuuzi wewe hv muda wa kuulizana kuwa wewe ni shia au suni unatoa wapi ktk nyakati ngumu kama hizi? Au unadhani Israel akituma bomu huko palestina linatenga wakristo pembeni au linachafua wa kuchoma? Wewe madrasa yameharibu ubongo wako
 
Ummah wa uislamu imefikia wakati wote kwa pamoja tuondoe tofauti, chuki na itikadi zetu na kuziweka pembeni tumkabidhi maisha yetu yote kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ili tushinde.

Yani ushindi hupo waziwazi kweuupe kwasababu ya Tawfiq mwamba aliyoipigania tumemiminiwa kila siku .

Mwamba alikan nafsi na maisha yake kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu. Leo tunajivunia kuwa na uhakika wa Janah na Firdaus.

Tukiungana na kumtegemea Imaam tutashinda.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

View attachment 3062631

Tayana-wog Code 255 Malaria 2
Why imaam husein ibn ali, na kwanini isiwe mtume.

Lakini kauli ya kusema tumkabidhi maisha yetu imam hussein, sio hussein tu, hata angekuwa ali r.a, ama hata mtume s.a.w mwenyewe, haifai kutumia kauli ya kumkabidhi maisha yetu, wa kukabidhiwa maisha ni allah s.w pekee yake mzee.

Hii kumtegemea mwingine tofauti na allah ni SHIRIKI(dhambi kubwa mnoo) mzee
 
Why imaam husein ibn ali, na kwanini isiwe mtume.

Lakini kauli ya kusema tumkabidhi maisha yetu imam hussein, sio hussein tu, hata angekuwa ali r.a, ama hata mtume s.a.w mwenyewe, haifai kutumia kauli ya kumkabidhi maisha yetu, wa kukabidhiwa maisha ni allah s.w pekee yake mzee.
Noted mkuu. Kuna mzuka flani wa kishia umeniingia nimeopoa demu mkali wa kishia yani ananipelekesha balaa.

adriz
 
Back
Top Bottom