Kimewaka tenaaa hizbollah wamelipua na inasemekana askari 17 wa IDF wamefariki kwa shambulizi la jana na la sasa hivi.
Kuna milipuko imetokea barabarani kwa shambulizi la drone na kuna milipuko katika kambi za jeshi za Israel.
Na Israel wanasema walifanikiwa kudungua drone moja tu.