Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

Habari hii hapa ABC news.
Inasema kuna majeruhi 7 wa jeshi na raia.Ila vifo bado havijaonekana.
Ni shambulio la roketi jepesi
Screenshot_2024-08-06-09-51-14-93_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-06-09-51-27-19_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
Screenshot_2024-08-06-09-51-49-07_81b5f59f81a9801c9f112972edbe649b.jpg
hivyo madhara sio makubwa.
 
Ummah wa uislamu imefikia wakati wote kwa pamoja tuondoe tofauti, chuki na itikadi zetu na kuziweka pembeni tumkabidhi maisha yetu yote kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ili tushinde.

Yani ushindi hupo waziwazi kweuupe kwasababu ya Tawfiq mwamba aliyoipigania tumemiminiwa kila siku .

Mwamba alikan nafsi na maisha yake kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu. Leo tunajivunia kuwa na uhakika wa Janah na Firdaus.

Tukiungana na kumtegemea Imaam tutashinda.

Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.

View attachment 3062631

Tayana-wog Code 255 Malaria 2
Imaaam Hussein alikua na farasi mzuri sana wallah vile 🤣
 
Insha Allah
 
Hivi Israel au USA akituma bomu huwa linaulizwa wewe ni shia au suni? Acha upuuzi wewe hv muda wa kuulizana kuwa wewe ni shia au suni unatoa wapi ktk nyakati ngumu kama hizi? Au unadhani Israel akituma bomu huko palestina linatenga wakristo pembeni au linachafua wa kuchoma? Wewe madrasa yameharibu ubongo wako
Hujui ata unaongea nini pole sanaaa tena sanaaaaa
 
We shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengine
Usihangaike nae huyo The Mongolian Savage ninamjua fika ni Duplicate ya Maghayo The Mongo Barbarian, niliwahi weka Uzi wa kufichua ukweli huu kukiwa na ushahidi wa wazi mods wakaufyeka hao ni Nyani mmoja ila msitu tofauti.

Hilo jamaa sio Mshia ni muabudu Yesu sasa kaamua autumie tiketi ya kujifanya Mshia kushambulia uislamu, huyo ni mtu wa kupuuzwa anatumia vibaya bange zake.

Cc : Kinyungu Code 255 makaveli10
 
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamefariki Dunia.

Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na iran yaliyopo Iraq.

Marekani imetoa taarifa ya kuthibitisha kushambuliwa Kwa kambi yake ya kijeshi nchini iraq.

Kambi hiyo ya marekani inayoitwa Al-Asad airbase imeshambuliwa Kwa bomu na roketi

Source: ‘Several’ US personnel injured in rocket attack on Iraq base | CNN Politics
Wapi imesemwa wameuwawa au lugha ndio shida.
 
Si umewekewa pale chini CNN!?
Au kusoma hujui?
Ameedit baada ya mimi kumuuliza. Don't conclude kabla ya hata wewe kudadis kwanza na kujijibu kwamba huyu mtu mpaka ameomba source ya taarifa ilikuwaje? Meaning habari haikuwa imekamilika. Usirudie tena itajidhihirisha nawe ni wale wale tu
 
Sasa mimi ningejuaje kama ame edit mkuu?
Mie nimeingia nikakuta paap source imewekwa nakuta mwamba unalalamika huoni chanzo nikaona hee huyu mwamba vipi ama macho yake yanachagua kusoma!?
 
Back
Top Bottom