Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
🇺🇸🇮🇶BREAKING:Hii habari umeitoa wapi ?
⚡️🇺🇸🇮🇶JUST IN:Unapoweka habari ni vyema kuweka na chanzo cha habari yako
Ummah wa uislamu imefikia wakati wote kwa pamoja tuondoe tofauti, chuki na itikadi zetu na kuziweka pembeni tumkabidhi maisha yetu yote kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ili tushinde.Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa.
Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu katika kambi ya marekani iliyopo Iraq lakini inadaiwa huenda makundi ya kigaidi yanayoungwa mkono na iran yaliyopo Iraq.
Marekani imetoa taarifa ya kuthibitisha kushambuliwa Kwa kambi yake ya kijeshi nchini iraq.
Kambi hiyo ya marekani inayoitwa Al-Asad airbase imeshambuliwa Kwa bomu na roketi
Source: ‘Several’ US personnel injured in rocket attack on Iraq base | CNN Politics
We shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengineUmmah wa uislamu imefikia wakati wote kwa pamoja tuondoe tofauti, chuki na itikadi zetu na kuziweka pembeni tumkabidhi maisha yetu yote kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ili tushinde.
Yani ushindi hupo waziwazi kweuupe kwasababu ya Tawfiq mwamba aliyoipigania tumemiminiwa kila siku .
Mwamba alikan nafsi na maisha yake kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu. Leo tunajivunia kuwa na uhakika wa Janah na Firdaus.
Tukiungana na kumtegemea Imaam tutashinda.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062631
Tayana-wog Code 255 Malaria 2
Wewe ni kafiri sio muisilamuWe shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengine
Hivi Israel au USA akituma bomu huwa linaulizwa wewe ni shia au suni? Acha upuuzi wewe hv muda wa kuulizana kuwa wewe ni shia au suni unatoa wapi ktk nyakati ngumu kama hizi? Au unadhani Israel akituma bomu huko palestina linatenga wakristo pembeni au linachafua wa kuchoma? Wewe madrasa yameharibu ubongo wakoWe shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengine
Asicheze na akili yako huyo mwamba ni kafiri (mgalatia) asikupotezee energy kubishana naeWe shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengine
Why imaam husein ibn ali, na kwanini isiwe mtume.Ummah wa uislamu imefikia wakati wote kwa pamoja tuondoe tofauti, chuki na itikadi zetu na kuziweka pembeni tumkabidhi maisha yetu yote kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ili tushinde.
Yani ushindi hupo waziwazi kweuupe kwasababu ya Tawfiq mwamba aliyoipigania tumemiminiwa kila siku .
Mwamba alikan nafsi na maisha yake kuupigania, kuutetea na kuulinda uislamu. Leo tunajivunia kuwa na uhakika wa Janah na Firdaus.
Tukiungana na kumtegemea Imaam tutashinda.
Allah aendelee kumfanyia wepes na kumpa qauli thabeet kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein ibn Ali A.S.
View attachment 3062631
Tayana-wog Code 255 Malaria 2
Noted mkuu. Kuna mzuka flani wa kishia umeniingia nimeopoa demu mkali wa kishia yani ananipelekesha balaa.Why imaam husein ibn ali, na kwanini isiwe mtume.
Lakini kauli ya kusema tumkabidhi maisha yetu imam hussein, sio hussein tu, hata angekuwa ali r.a, ama hata mtume s.a.w mwenyewe, haifai kutumia kauli ya kumkabidhi maisha yetu, wa kukabidhiwa maisha ni allah s.w pekee yake mzee.
Si bora kafiri kuliko Sunni. Najivunia mimi kafiri siyo Sunni.We shia nyie ndo munoharibu Uislamu kwanza mashia sio waislamu mna hamumkubali Muhammad kma mtume na quran pia hamuikubali ww ni kafiri tu kma wengine