Wanajeshi kadhaa wa Marekani wamejeruhiwa baada ya kushambuliwa na bomu nchini Iraq

Kimewaka tenaaa hizbollah wamelipua na inasemekana askari 17 wa IDF wamefariki kwa shambulizi la jana na la sasa hivi.
Kuna milipuko imetokea barabarani kwa shambulizi la drone na kuna milipuko katika kambi za jeshi za Israel.
Na Israel wanasema walifanikiwa kudungua drone moja tu.
Your browser is not able to display this video.
 
Hizo nguruwe zimefyekwa ila zinaficha ficha
Hizo nguruwe zikifyekwa hua nasikia burdaaaan
Kuna video nime rekodi na kuileta ikionesha madhara ya shambulizi.
Drone zimepenya bana.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Askari 17 wamefariki upande wa Israel na raia watano wamefariki upande wa Hizbollah.
 
Taifa teule zile ayan domo si wazitupe tu maana hazina msaada wowote ule kwakweli
Washawatangazia watu wa galileo sijui ndio gali kesho wahame ama wakae chini
Israhell bure kabisa six day kushinda war wanadhani game ile hehehe
Ngoja watetezi wawateule waje watie neno
 
Nimeshindwa ku Upload video nzima ila daah.
Kuna moja fly over mji wa Acre imetifuliwa katikati.
Na wenyewe wamekiri wameweza kuzuia drone moja tu.
 
Nimeshindwa ku Upload video nzima ila daah.
Kuna moja fly over mji wa Acre imetifuliwa katikati.
Na wenyewe wamekiri wameweza kuzuia drone moja tu.
Hii nimeiona
Israhell wanateseka sana mungunwao kawatelekeza kwani hawalindi tena?πŸ˜€
 
Wanawatafutia sababu Ya Kuwanyuka,,,Kadhaa ndio ngapi sasa?
 
Kipindi hiki watakua bize sana kuzika bado iran anafanya warm-up
Leo yamefanyika mashambulizi matatu kwa mpigo.
Na inaonesha iron dome ilifeli ku detect drones ikafanikiwa dakika za mwisho kudungua drone moja.
Nime upload video hapo inasema atleast one drone was intercepted.
 
Dawa ya mtu kama huyu ni kum ignore
 
Sasa mimi ningejuaje kama ame edit mkuu?
Mie nimeingia nikakuta paap source imewekwa nakuta mwamba unalalamika huoni chanzo nikaona hee huyu mwamba vipi ama macho yake yanachagua kusoma!?
Haha bhasi kama ndio hivyo itabidi mods waanzishe utaratibu wa mtu akikosea na kurekebisha zile comments zote zinazomtaka arekebishe ziwe zinafutwa kitu ambacho ni sawa na kuwapa majukumu mapya sasaπŸ˜€πŸ˜€
 
Haha bhasi kama ndio hivyo itabidi mods waanzishe utaratibu wa mtu akikosea na kurekebisha zile comments zote zinazomtaka arekebishe ziwe zinafutwa kitu ambacho ni sawa na kuwapa majukumu mapya sasaπŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Kipindi hiki watakua bize sana kuzika bado Iran anafanya warm-up hajaanza kurusha vyuma
Unadhani hivyo vyuma ni vya Nani!? Huyo ni Irani anatumia hayo makundi... Hataki kwenda moja kwa moja kuhofia kuchangiwa maana anajua anatafutwa na magharibi. So ni hit and run
 
Ichokozeni Marekani mkianza kupigwa msianze kutulilia lia waislamu wanauawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…