😅😅😅😅Jeshi la jwtz bunduki zipo ghalani makutupora, risasi zipo Namtumbo.
Vichwa viko Msangani wakati akili za vichwa hivyo ziko Kihangaiko na uwezo wa kufikiri wa akili hizo uko Rwankoma.
Wana mipaka na Burkina Faso na TogoBenin iko wapo
Watu waliofeli kidato cha nne ndio kimbilio la jeshi na polisi hapo unategemea kuwa na taifa lenye wanajeshi wenye upeo gani kichwani?Sijui JWTZ wanafeli wapi?
Mtu yuko Zanzibar huko wanashindwa mtoa ?
😅😅😅Africa would be safe",, DJ nisogeze na wimbo wa makombolelo ila pale kwenye chikichiki nitafanya mimi🤗
aiiiii humu tu sisy j2 inazidi kuwa ya baraka😅😅😅
Africa will be saved....
Makombolero...