Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

Wala hiyo si sababu maana haiitajiki jeshi zima ni watu wachache tu wakishateka Ikulu na kutangaza inakuwa imeisha
Mkuu HIMARS sasa hapa Tanzania mnashindwa nini watu wachache kwenda pale Ikulu na kupindua?
 
Hii ni movement kwa barani Africa. Wananchi wanapofunguka na kuwa exposed na mambo yanayo fanya na watu walio wapa dhamana ya kusimamia na kuongozo resources za nchi, mwisho wake ndio unakuwa kama huo.. Naona jamaa wameona waokoe taifa lao kabla mambo hayajawa mabaya sana
Hapa jeshi na polisi ni uvcc tusitarajie hili, tujikomboe wenyewe.

Tusiwape sifa mi ccm na mipolisi yao kwamba tumeyashindwa, tuyatoe wenyewe.
 
Nyumbu hapo wanatamani itokee Tz ila hii siyo nchi ya kihunihuni mkileta uhuni , wizi na uharibifu wa mali mtapewa mnachostahili hadi mpone huo uchizi wa maigizo mnaojivisha
Tanzania ni mapinduzi ni suala la muda Sema inaweza kuja kwa namna nyingine wauaji kina samuya na Bt lazima wamalizwe ni suala la.muda tu.
 
Wanajeshi wakiongozwa na Luteni Pascal Tigri wametangaza kwamba wameichukua serikali ya nchi.

Wamesitisha shughuli za vyama vyote vya siasa na kutangaza kufungwa kwa mipaka ya nchi kwa njia ya ardhi, bahari na anga.

Benin ni moja ya nchi tulivu zaidi Afrika Magharibi.
Na benin pameendelea kweli. Ni kama Rwanda.

Sijui Tz tulikosea wapi

Kwa nini sisi tuna mikosi.
Wahuni wanatamba tu na kutukejeli
 
Back
Top Bottom