Wanajeshi wa Benin watangaza mapinduzi ya kijeshi nchini humo

Wala hiyo si sababu maana haiitajiki jeshi zima ni watu wachache tu wakishateka Ikulu na kutangaza inakuwa imeisha
Mkuu HIMARS sasa hapa Tanzania mnashindwa nini watu wachache kwenda pale Ikulu na kupindua?
 
Hapa jeshi na polisi ni uvcc tusitarajie hili, tujikomboe wenyewe.

Tusiwape sifa mi ccm na mipolisi yao kwamba tumeyashindwa, tuyatoe wenyewe.
 
Nyumbu hapo wanatamani itokee Tz ila hii siyo nchi ya kihunihuni mkileta uhuni , wizi na uharibifu wa mali mtapewa mnachostahili hadi mpone huo uchizi wa maigizo mnaojivisha
Tanzania ni mapinduzi ni suala la muda Sema inaweza kuja kwa namna nyingine wauaji kina samuya na Bt lazima wamalizwe ni suala la.muda tu.
 
Na benin pameendelea kweli. Ni kama Rwanda.

Sijui Tz tulikosea wapi

Kwa nini sisi tuna mikosi.
Wahuni wanatamba tu na kutukejeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…