Joshua Mbezi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2024
- 1,994
- 4,446
Unapenda ligiYanagonga chupi eeehh
Mimi ningekuwa ni muwest africa walahi tena ningejiunga na jeshi, maana kule majeshi yao yanawatengeneza soldiers kuwa wazalendo na majasiri wasioogopa kuliokoa taifa kutoka kwa mtawala dhalimu pale mambo yanavyoenda ndivyo sivyo.Mmewaona wanaume wanavyofanya sasa!!
Wale wapumbavu nchi ikikombolewa yapaswa wafukuzwe wote wakatafute kazi zingine za kufanya, hawana sifa za kuwa wanajeshi wajinga wale.Kichekesho ni kwamba Jwtz wanasubiri raia ndio wawakombea inasikitisha sana
Imagine mtu ameidharau katiba wala haifuati anaiita kakijitabu tu, halafu eti nyie mnamlinda mnatii order zake na kumpigia salute? Si ukuma huo..!?Mojawapo ya majukumu ya JWTZ ni Kulinda Katiba na Uhuru.wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Sasa Rais alidharau Katiba kwa kusema Katiba ni Kijitabu Tu! 😭😭😭😭
Acha kujilizaliza toka ukafanye vurugu na wizi uone utakachokutana nacho, we si unajidai huwezi kuishi bila kuiba mali za watu na kuziharibu toka uone vile watu hawacheki na nyumbu.Lucha hata malaya wa kimboka hawapo km wewe..!!
Hivi unapata faida gani kuwa chawa?
Hata km ni mahaba uliyonayo kwa mabasha zako wewe umezidi.!!
Halafu walioiba ni polisi wao ndio walibaki barabarani wananchi wote walikuwa ndani. Si umeona hadi kanisa la Gwajima. Haya acha uchoko basi
Asante Mkuu, mimi mzima wa Afya kabisa hofu kwakoNakusalimu mkuu
Benin iko wapo
We *** mi sio shoga km wewe.!!Acha kujilizaliza toka ukafanye vurugu na wizi uone utakachokutana nacho, we si unajidai huwezi kuishi bila kuiba mali za watu na kuziharibu toka uone vile watu hawacheki na nyumbu.
Temana na mishe za bongo Yahudi wewe
Nipo vizuri.Asante Mkuu, mimi mzima wa Afya kabisa hofu kwako
Unapenda ligi