Mods polen kwa kazi, Please msimove post
Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?
Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi
Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani
Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018
Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani
Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel
Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%
Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?
Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,
Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10
Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran
Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi
Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha
Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.
Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda