Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

T
Mods polen kwa kazi, Please msimove post

Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?

Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
Tuump aliwahi kunena kuwa, kwa ule unyama walioufanya Hamas dhidi ya Israel, kama yeye Yrump angekuwa mkuu wa nchi ya Israel, angefanya zaidi ya Netanyahu, na kwamba Israel inafanya makosa kuonesha picha jinsi wanavyoiteketeza Gaza, hali inayosababisha kelele za Dunia.

Magaidi wa Hamas na Hezbollah, watarajie kibano zaidi wakati huu wa utawala wa Trump maana Trump atahakikisha Israel inakipata wanachokihitaji kwaajili ya kuyaangamiza magaidi.f
 
Wanashangilia kurudi nyumbani na vita kuisha, trump hatoi hela za marekani kiboya
Unamfahamu vizuri Trump kuhusu Israel? Miaka yote makao makuu ya Israel yalikua mji wa Tel Aviv, mabalozi wa nchi zote including USA walikua Tel Aviv, huyu jamaa chini ya utawala wake, alilazimisha Israel iutambue mji wa Jerusalem kua ndio makao makuu yake, hata balozi wa Marekani pale Israel alihamishiwa mji wa Jerusalem ASAP. Now, jumuia ya kiarabu, or call jumuia za kiislam duniani hazinaga shida na mji wa Tel Aviv, kuweka capital city ya Israel kwenda Jerusalem, hilo ni tatizo kubwa mno, ndipo ulipo msikiti ambao Waislamu wameaminishwa kua nabii Suleman aliujenga, Israel nao wana ndoto ya kuubomoa na kujenga hekalu lao ambao nao wana amini ndio hekalu la kwanza kujengwa tokea wamekua taifa kwa mara ya kwanza almost miaka 750 BC, hapo ndipo ilipo confusion kubwa between hizi dini 3, Judaism, Christianity and Islamic. Trump ana msimamo mkali sana kuhusu Israel, Jerusalem
 
Vita alizo shinda za hao viongozi wanao mlinda. HAJAWAHI mshinda Hezbullah au Hamasi.
Umesema Israel hawezi shinda vita nimekwambia ameshinda vita kadhaa dhidi ya Mataifa ya Waarabu na sasa umegeuza kuwa ni Magaidi ya Hamas na Hezbola.

Kumbuka ustazi kushinda Magaidi huwa inachukua muda kidogo kwasababu Magaidi huwa wanajificha nyuma ya Raia na ndio maana Raia wengi huko Gaza na Lebanon wameuwawa.
 
Biden alikuwa anajita Zionist kabisa na alisema kama hakuna taifa la Israel angetengeneza Taifa hilo 😄 Leo eti wamefurahi kuona Trump karudi wambie watupe details za msada wa Trump na msada Biden wa silaha tuone nani kawapa silaha nyingi na pesa.

Nani aliitambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel?
 
Umesema Israel hawezi shinda vita nimekwambia ameshinda vita kadhaa dhidi ya Mataifa ya Waarabu na sasa umegeuza kuwa ni Magaidi ya Hamas na Hezbola.

Kumbuka ustazi kushinda Magaidi huwa inachukua muda kidogo kwasababu Magaidi huwa wanajificha nyuma ya Raia na ndio maana Raia wengi huko Gaza na Lebanon wameuwawa.
Israel alipigana lini vita na Yemen akashinda, Israel alipigana na nchi ngapi za kiarabu ? Vita vyote Israel alivyo pigana na warabu ni nchi labda mbili au tatu, alikuwa anasaidiwa na hao hao anaopigana nao wa kwanza King Hussein alikuwa anawapa infomation Israel kabla ya kuanza hata mashambulizi. Kuhusu Hamas na Hezbullah vipi ni magaidi? Hizo ni akili zako za mirembe ndio unasema magaidi hao ni Resistance Movement kwenye nchi zao we baki na ujinga wako. Hezbullah alimfundisha lesson Israel mwaka 1982 kule Lebanon mpaa akakimbia. Mwaka 2006 Israel hakufanikiwa lolote zaidi ya kuvunja majumba hakuweza kupata kilicho mpeleka Lebanon kukomboa askari zake wawili. Hii vita ya sasa alienda kwa target 3 kuwarudisha wananchi zake North kashindwa, pia kuwaondoa Hezbullah warudi nyuma ya mto Letani kashindwa, na kuwazuia Hezbullah wasiwape support Hamas na kuzivunja silaha za Hezbullah kashindwa. Exactly 💯 kama kwa Yemen pia kashindwa yeye na baba yake USA na mjomba wake UK, Yemen bado haruhusi meli kwenda Israel. Kama vile 💯 vita na Hamas kaenda kwa ajili ya kukomboa matekwa wao kwa nguvu kashindwa., kuivunja Hamas kashindwa, na kuwaondoa kabisa Hamas Gaza kashindwa 😄
 
Nani aliitambua Jerusalem kama makao makuu ya Israel?
Hio ilikuwa ni 1st term sa hi
2nd term mtamjua Trump ukweli wake, Israel atamkumbuka Biden. Jerusalem itabaki vile vile mji Mkuu wa Palestine sio Trump wala nani atakaye weza badilisha ukweli. Nyau yuko Jerusalem au Tela Aviv? Vichaa kweli nyie.
 
Hezbollah na Hamas vita vyao wameshindia wapi? Lebanon na Palestina?
Au sehemu nyingine?
Kumbe we umelala hujui lolote katazame history ya vita vya Lebanon nani aliye mtoa Israel Lebanon mwaka 1982. Pia vita vya Israel katazame reason ya vita ilikuwa ni nini 😄 Tulisha wambia Israel hawezi vita zaidi ya kuvunja majumba na kufanya genocide, ndio mana hashindi vita, sio kwa Hezbullah au kwa Hamas. Kuhusu Hamas we unajua sababu gani Israel aliondoka Gaza? Israel hajui lugha ila lugha ya kichapo, kama unategemea Israel atakupa sehemu aliye ikalia kwanguvu kwa njia ya mazungumzo hio ni ndoto.
 
Mods polen kwa kazi, Please msimove post

Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?

Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
Kwa bandiko lako hili inabidi muache kukariri kuwa Israeli ni taifa teule linalindwa na mungu na mfahamu Israeli bila kusaidiwa na m
Wamangaribi ni sawa na Burundi tu
 
Hapo alijua atawahitaji kugombea muhula wa pili,wayahudi wapo USA wanna ushawishi kwenye uchaguzi jumlisha christian nationalism movement inayoamini uteule wa israel na urejeo wa masihi kwa ajili ya unyakuo,kishapata atakacho na hatogombea tena,subiri uone
Hicho ndicho wafuasi wa Paulo hawakijuu Trump ana bussiness nchi za kiarabu kuliko Israel awache bussiness yake idhurike sababu ya wajinga wale wasio kuwa na shukrani. Kwani Trump hawajui Israel wanafiki wacha wasubiri kama Trump atawasaidia kama Biden safari hio sio ajabu safari hi hata kusema Jerusalem ni capita city ya Israel atasema alikosea😄
 
Hio ilikuwa ni 1st term sa hi
2nd term mtamjua Trump ukweli wake, Israel atamkumbuka Biden. Jerusalem itabaki vile vile mji Mkuu wa Palestine sio Trump wala nani atakaye weza badilisha ukweli. Nyau yuko Jerusalem au Tela Aviv? Vichaa kweli nyie.

Usiweke matumaini makubwa sana kwa binadamu wenzako. Sio kila king'aacho ni dhahabu.
Naangalia ya dunia yanavyokatisha tamaa. Sioni lolote la ajabu kutoka kwa Trump. Alitaka madaraka. Ameyapata.
Labda pekee kitabadilika ni mambo ya ushoga na kutoa mimba, ambayo Democrats waliyashadadia sana
 
Kumbe we umelala hujui lolote katazame history ya vita vya Lebanon nani aliye mtoa Israel Lebanon mwaka 1982. Pia vita vya Israel katazame reason ya vita ilikuwa ni nini 😄 Tulisha wambia Israel hawezi vita zaidi ya kuvunja majumba na kufanya genocide, ndio mana hashindi vita, sio kwa Hezbullah au kwa Hamas. Kuhusu Hamas we unajua sababu gani Israel aliondoka Gaza? Israel hajui lugha ila lugha ya kichapo, kama unategemea Israel atakupa sehemu aliye ikalia kwanguvu kwa njia ya mazungumzo hio ni ndoto.

Ni kweli nimelala...ndio nimeamka. Historia gani unayoiongelea wewe? Hawa wanaouwawa kwa mamia Palestina na Lebanon ni kina nani?
Hawa waliojaa kwenye makambi ya wakimbizi sababu ya kufukuzwa kwenye ardhi yao ni kina nani?
Nakushauri leo kula sufuria nzima ya pilau, utoe mashuzi ukalale. Akili zako zina matege maana unadanganya halafu umeanza kujidanganya.
 
Usiweke matumaini makubwa sana kwa binadamu wenzako. Sio kila king'aacho ni dhahabu.
Naangalia ya dunia yanavyokatisha tamaa. Sioni lolote la ajabu kutoka kwa Trump. Alitaka madaraka. Ameyapata.
Labda pekee kitabadilika ni mambo ya ushoga na kutoa mimba, ambayo Democrats waliyashadadia sana
Kwa mara ya kwanza nakubaliana na wewe sisi Waislam ndugu yako usimtegemee kukusaidia weka kwa Allah tu. Ajabu Israel anategemea kwa Trump 😄 kule Hezbullah wanamtembezea kichapo tu, kiongozi wao msikie alicho sema

View: https://youtu.be/1z6j6HKqFIU?si=HDHxPkjk6PvrttYI
 
Mods polen kwa kazi, Please msimove post

Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?

Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda

Hata huku Afrika wengi tumefurahia ushindi wa Mtumishi wa Mungu Donald Trump dhidi ya wakala wa Shetwain aliyetaka kuiharibu dunia kwa usagaji ,ufiraji,rushwa ,ukoloni mambo leo , bidhaa feki, madawa feki ,shoga na vita.

Mungu mbariki Mtume wa Mwenyezi Mungu, Donald Trump
 
Mods polen kwa kazi, Please msimove post

Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?

Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
Mkuu umelipuka naona, furaha ni kwasababu vita inaenda kusimama na wao maisha yao yatakuwa salama kutokana na vifo, wanauliwa ovyo vitani, Trump aliahidi vita kuisha kwenye kampeni na ndio iliyomfanya kushinda uchaguzi mapema - sasa kama propaganda kwenye ubongo wako zinakusumbua akili ni peke yako
 
Mods polen kwa kazi, Please msimove post

Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?

Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
Huna facts hili ni porojo toka kichwan kwako tu
 
🏴‍☠ Report | Galant in a closing speech:

The withdrawal of two-thirds of our army from southern Lebanon yesterday was not due to the weakness of our army, but rather due to the extraordinary strength of the Lebanese Hezbollah, and this is a fact that Netanyahu does not want to understand or accept.

• I respect the enormous power of Hezbollah, and Netanyahu can say whatever he wants.

• Its end is humiliation and what's coming is worse, Netanyahu.

• What you and your army will witness is much worse than what Olmert experienced in the 2006 war.

🔹@enemywatch
 
Back
Top Bottom