Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

Mods polen kwa kazi, Please msimove post

Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?

Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
Wanafurahia kuua Waarab kwani mlinzi na supporter wao mkubwa kisharudi madarakani.
 
WACHA URONGO,TRUMP ALSHASEMA ATAMALIZA HII VITA...SASA ITOSHE TU KUSEMA WANASHANGILIA KUSHINDA KWA TRUMP KWAMBA VITA VITAISHA NA WAO WATANUSURIKA NA KURUDI NYUMBANI KUJUMUIKA NA FAMILIA ZAO
 
Hao wameambiwa na nyau wafanye vile Trump atafanya nini zaidi ya alicho fanya Biden. Israel huwa hawana shukrani hawa wamesaidiwa na Biden hakuna Rais wa America atawapa silaha kama yule kibabu mwehu. Trump ni rogi tu sa ndio watamjua sababu ana mda wa miaka mitano basi sidhani kama atamuweka yule mme wa Ivanka ile position ya mwanzo tena. Narudia hakuna Rais wa America kawasaidia Israel kama huyo Biden. Israel hata asaidiwe vipi hawezi shinda vita.
israel kuendelea kuwepo hapo ni ushindi tosha
 
Hahahahahaha kwa maelezo haya enyi vijana wa mungu wa Elia na yakobo, tambueni bila America 🇺🇸 Israel ni mchumba tuu hata wanangu wa 92 wanawakalisha...
Gaza bila Iran , Qatar , Turkey hmn kitu
 
Warabu wa Iraq na Lebanon walio mpa tenders Israel ndio walio msaidia akatia PETN kwenye hizo pager na hizo walkie-talkie.
sasa nan yupo na Wapalestina fake km kila mtu anamsaidia Israel
 
Kimeumana huko
 
Attachments

  • main-qimg-1ea0c693a1ca98fdaf40dd680b7257be.jpeg
    main-qimg-1ea0c693a1ca98fdaf40dd680b7257be.jpeg
    36.8 KB · Views: 2
Back
Top Bottom