Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

Warabu wa Iraq na Lebanon walio mpa tenders Israel ndio walio msaidia akatia PETN kwenye hizo pager na hizo walkie-talkie.
Si ndio mbinu za vita ninyi bado mnafikiri ni Vita vya Majambia vya enzi za Mohamed?😆😆
 
La ajabu 79% ya wayahudi wa 🇺🇸 walimchagua na Kamala hapo vipi?
Unafikiri wanashangilia kwa sababu ya silaha? Mbona wanatengeneza za kwao?
Wanafurahia mtihani huu uishe maana wamepata hasara nyingi sana na wanajeshi wengi wameuwawa ingawa wanaficha ukweli ila wanaofurahia wanajua wamepona sasa
 
Iran ya awamu ya Trump ilibanwa mbavu kiuchumi,

Awamu ya Biden wanawauzia China pipa milioni 1 kila siku, Biden aakwaongezea Trilioni 16
Hata awamu hii atawauzia dunia imebadilika mzee ngoja uone kama dt ataleta jipya sioni akija na suala jipya
 
T

Tuump aliwahi kunena kuwa, kwa ule unyama walioufanya Hamas dhidi ya Israel, kama yeye Yrump angekuwa mkuu wa nchi ya Israel, angefanya zaidi ya Netanyahu, na kwamba Israel inafanya makosa kuonesha picha jinsi wanavyoiteketeza Gaza, hali inayosababisha kelele za Dunia.

Magaidi wa Hamas na Hezbollah, watarajie kibano zaidi wakati huu wa utawala wa Trump maana Trump atahakikisha Israel inakipata wanachokihitaji kwaajili ya kuyaangamiza magaidi.f
Hana jipya labda atumie nyuklia israhell hana maajabu tulioaminishwa na biibiisiii
 
Mods polen kwa kazi, Please msimove post


Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?

Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi

Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani

Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018

Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani

Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel

Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%

Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?


Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,

Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10

Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran

Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi

Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha

Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.

Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
 
Trump ndio aliamuru assasination ya Qasem Soleiman wa IRGC.
In short wasiemtaka karudi. Magaidi Iran wajiandae
 
Hata awamu hii atawauzia dunia imebadilika mzee ngoja uone kama dt ataleta jipya sioni akija na suala jipya
Trump anadhani siku hizi Iran utamtisha nyau, hajui huo wakati umeisha pitwa, watu wanatechnology za kisasa huwezi kumtisha na F35 au B52 au B2
 
Hata huku Afrika wengi tumefurahia ushindi wa Mtumishi wa Mungu Donald Trump dhidi ya wakala wa Shetwain aliyetaka kuiharibu dunia kwa usagaji ,ufiraji,rushwa ,ukoloni mambo leo , bidhaa feki, madawa feki ,shoga na vita.

Mungu mbariki Mtume wa Mwenyezi Mungu, Donald Trump
'
Ghafla amekuwa nabii na mtume Trump? Kazi ipo. Kwanini tusiwekeze kwenye kutatua changamoto zetu. Kujenga uwezo wetu wa kufikiri na kufanya mambo kwa usahihi?
Kuwakataa wanaotapanya mali na rasilimali zetu kwa rushwa na wizi? We got a business to do. Mambo ya Israel na Marekani hayatuhusu.
 
Hizi issues za Israel -Palestine ambazo hazina majibu na kwa sasa ni ngumu sana kupata majibu
issues to do with security, borders, settlements, Palestinian refugees, and the future of the ancient city of Jerusalem.

Trump agreed to support Jerusalem to be the capital city of Israel. Has he changed his stance now? Only time will allow the truth to be spoken
 
Back
Top Bottom