Bwana Utam
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 19,559
- 36,514
Na wewe tunga quruan yako kama unaweza kama walivyotunga fiksi day waaSix days War ni tukio la kweli Quruani yenu ndio ya kutunga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe tunga quruan yako kama unaweza kama walivyotunga fiksi day waaSix days War ni tukio la kweli Quruani yenu ndio ya kutunga.
Wanafurahia kuua Waarab kwani mlinzi na supporter wao mkubwa kisharudi madarakani.Mods polen kwa kazi, Please msimove post
Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?
Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi
Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani
Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018
Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani
Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel
Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%
Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?
Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,
Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10
Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran
Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi
Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha
Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.
Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
Mbona ni kazi rahisi kukopi na kutunga.Na wewe tunga quruan yako kama unaweza kama walivyotunga fiksi day waa
Una ngojea nini Kuja na yakoMbona ni kazi rahisi kukopi na kutunga.
Ni kazi rahisi kutengeneza mashairi kama Quruani.Una ngojea nini Kuja na yako
WACHA URONGO,TRUMP ALSHASEMA ATAMALIZA HII VITA...SASA ITOSHE TU KUSEMA WANASHANGILIA KUSHINDA KWA TRUMP KWAMBA VITA VITAISHA NA WAO WATANUSURIKA NA KURUDI NYUMBANI KUJUMUIKA NA FAMILIA ZAOMods polen kwa kazi, Please msimove post
Kwanini wanajeshi wanashangilia Trump kushinda ?
Kwa ufupi ni kwamba Besti yao karudi
Trump aliifanya Iran ifulie, Vikwazo vya kuwazuia Iran vilisimamiwa ukucha, Iran imeanza kupata pesa baada ya Biden kuingia madarakani
Trump alitambua Jerusallem kuwa mji mkuu wa Israel 2018
Trump aliisaidia Israel silaha nyingi sana hata walipokuwa kwenye amani
Israel iliongeza eneo la Gollan heights baada ya Trump kutambua sehemu husika ni ya Israel
Soma Pia: Donald Trump ashinda Urais wa Marekani kwa 51.05% dhidi ya Harris Kamala aliyepata 47.46%
Kwanini wanafurahia Harris Kushidwa ?
Awamu ya Biden imewaruhusu Iran kuuza mapipa milioni 1 kila siku kwa China,
Biden aliwapa Iran Dola bilioni 6 (Shilingi trilioni 16), Inaaminika pesa hizo Iran ilizituma kwa Hamas na Hezbollah kuishambulia Israel kwasababu malipo yalifanywa tarehe 11 mwez wa 9 vita ikaanza tarehe 7 mwezi wa 10
Awamu ya Biden walivujisha siri za Israel kuishambulia Iran
Jesh la Israel mara kadhaa kulalamikia Marekani kuchelewesha silaha kwa maksudi
Biden kuitishia Israel kuipunguzia Silaha
Biden na Harris waliwapa sapoti waandamaji kupeperusha bendera za Hamas na hezbollah, Kufunga barabara, Kuweka kambi vyuoni, n.k.
Netanyahu alihutubia bunge la Marekani lakini Biden na Harris hawakuudhuria licha ya wabinge wengi wa chama chao kwenda
israel kuendelea kuwepo hapo ni ushindi toshaHao wameambiwa na nyau wafanye vile Trump atafanya nini zaidi ya alicho fanya Biden. Israel huwa hawana shukrani hawa wamesaidiwa na Biden hakuna Rais wa America atawapa silaha kama yule kibabu mwehu. Trump ni rogi tu sa ndio watamjua sababu ana mda wa miaka mitano basi sidhani kama atamuweka yule mme wa Ivanka ile position ya mwanzo tena. Narudia hakuna Rais wa America kawasaidia Israel kama huyo Biden. Israel hata asaidiwe vipi hawezi shinda vita.
Gaza bila Iran , Qatar , Turkey hmn kituHahahahahaha kwa maelezo haya enyi vijana wa mungu wa Elia na yakobo, tambueni bila America 🇺🇸 Israel ni mchumba tuu hata wanangu wa 92 wanawakalisha...
sasa nan yupo na Wapalestina fake km kila mtu anamsaidia IsraelWarabu wa Iraq na Lebanon walio mpa tenders Israel ndio walio msaidia akatia PETN kwenye hizo pager na hizo walkie-talkie.
Wako wa Lebanon na wa Iraq ambao ni Pro West sio wote ndio walio mpaa tender hio.sasa nan yupo na Wapalestina fake km kila mtu anamsaidia Israel