Wanajeshi wa israel wafurahia ushindi wa Donald Trump, wana uhakika wa kupata support ya nguvu kuzidi awamu ya Biden

Kwahiyo na safari hii zile Pager na Walkie-talkies kulipuka ni nani alisaidia Israel?!
Warabu wa Iraq na Lebanon walio mpa tenders Israel ndio walio msaidia akatia PETN kwenye hizo pager na hizo walkie-talkie.
 
Warabu wa Iraq na Lebanon walio mpa tenders Israel ndio walio msaidia akatia PETN kwenye hizo pager na hizo walkie-talkie.
Si ndio mbinu za vita ninyi bado mnafikiri ni Vita vya Majambia vya enzi za Mohamed?😆😆
 
La ajabu 79% ya wayahudi wa 🇺🇸 walimchagua na Kamala hapo vipi?
Unafikiri wanashangilia kwa sababu ya silaha? Mbona wanatengeneza za kwao?
Wanafurahia mtihani huu uishe maana wamepata hasara nyingi sana na wanajeshi wengi wameuwawa ingawa wanaficha ukweli ila wanaofurahia wanajua wamepona sasa
 
Iran ya awamu ya Trump ilibanwa mbavu kiuchumi,

Awamu ya Biden wanawauzia China pipa milioni 1 kila siku, Biden aakwaongezea Trilioni 16
Hata awamu hii atawauzia dunia imebadilika mzee ngoja uone kama dt ataleta jipya sioni akija na suala jipya
 
Hana jipya labda atumie nyuklia israhell hana maajabu tulioaminishwa na biibiisiii
 
 
Trump ndio aliamuru assasination ya Qasem Soleiman wa IRGC.
In short wasiemtaka karudi. Magaidi Iran wajiandae
 
Hata awamu hii atawauzia dunia imebadilika mzee ngoja uone kama dt ataleta jipya sioni akija na suala jipya
Trump anadhani siku hizi Iran utamtisha nyau, hajui huo wakati umeisha pitwa, watu wanatechnology za kisasa huwezi kumtisha na F35 au B52 au B2
 
'
Ghafla amekuwa nabii na mtume Trump? Kazi ipo. Kwanini tusiwekeze kwenye kutatua changamoto zetu. Kujenga uwezo wetu wa kufikiri na kufanya mambo kwa usahihi?
Kuwakataa wanaotapanya mali na rasilimali zetu kwa rushwa na wizi? We got a business to do. Mambo ya Israel na Marekani hayatuhusu.
 
Hizi issues za Israel -Palestine ambazo hazina majibu na kwa sasa ni ngumu sana kupata majibu
issues to do with security, borders, settlements, Palestinian refugees, and the future of the ancient city of Jerusalem.

Trump agreed to support Jerusalem to be the capital city of Israel. Has he changed his stance now? Only time will allow the truth to be spoken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…