Wanajeshi wa Israel wagundua miundo mbinu zaidi ya kigaidi chini ya hospitali ya Shifa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa....

IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages.,

“We continue to deepen our operational activity at Shifa Hospital,” Hagari says in an evening press conference. “Today, we found more underground infrastructure, and to collect every bit of information on the hostages.”

“Our troops are operating in the area, investigating the tunnel shafts found in the hospital,” he adds.
 
Achana na propaganda za kitoto hizo, kama waandishi wa habari hawana uwezo wa kuhoji ili jambo kwa uwazi hizo ni propaganda tu
 
Vita hizi zimejaa uongo mwingi.
Nilianza kuwapuuza walipokuwa wanalipua magorofa eti wanawalipua hamasi, walipomaliza wakageuka wakasema hamas wamo kwenye mahandaki.

Hakuna gaidi akae gorofani wakatu anajua atakuws target.
 
Shirikisha ubongo walau kidogo, magaidi ya dini yanarusha rocket yakiwa juu ya ghorofa halafu yanapakimbia, Israel wana mifumo ya kuona trajectory au mkondo wa kombora, yaani baada ya kulitungua wana uwezo wa kuona lilipotokea, hivyo hapo hapo muda usio mrefu panasambaratishwa.

Video za mahandaki ya HAMAS zimeonyeshwa mara nyingi tu, hivyo sio jambo jipya....
 
Shughuli inaendelea na hakuna kitakachosazwa....

IDF Spokesman Rear Adm. Daniel Hagari says troops found additional underground infrastructure at Shifa Hospital today, and are still searching the complex for information on the hostages.,

“We continue to deepen our operational activity at Shifa Hospital,” Hagari says in an evening press conference. “Today, we found more underground infrastructure, and to collect every bit of information on the hostages.”

“Our troops are operating in the area, investigating the tunnel shafts found in the hospital,” he adds.
Huyu jamaa simuamini kabisa na link zake amegubika na udini ulio kuthiri ubongo wake kabisa, ni kama analipwa kueneza propaganda za udini.
 
Shirikisha ubongo walau kidogo, magaidi ya dini yanarusha rocket yakiwa juu ya ghorofa halafu yanapakimbia, Israel wana mifumo ya kuona trajectory au mkondo wa kombora, yaani baada ya kulitungua wana uwezo wa kuona lilipotokea, hivyo hapo hapo muda usio mrefu panasambaratishwa.

Video za mahandaki ya HAMAS zimeonyeshwa mara nyingi tu, hivyo sio jambo jipya....
Katika trajectory zote zilizorushws na hamas kwa mujibu wa video zao, zote zinaonyesha wanarusha kutokea kwenye vichaka au meshimo mafupi ambayo yameungana na maandaki.

Za ghorofani sijaona.
 
FB_IMG_1700315263649.jpg
 
Huwezirusha kombora kwenye hispitali iliyojaa wangonjwa MK254 ubongo na vidole vyako havina ushirikiano aka mwizraeli wa kibera
 
bila kua na resistance hakuna vita tena hapo...

Ni mwenye nguvu sasa kujizatiti zaid eneo hilo, kujiimarisha, kulisafisha eneo husika, kwa kuchunguza, kufichua na kubaini vitu vya hatari kwa usalama mathalani vilipuzi na sumu halafu kisha kuviharibu visilete madhara na kuanza utekelezaji wa mipangio ya huyo mwenye nguvu alichokusudia kukifanya eneo hilo....

Vita ya Hamasi na Israel havitapiganwa tena ndani ya eneo la Ghaza. Mashambulizi ya Hamasi dhidi ya Israel sasa yatatoka mbali zaid na nje ya Palestine.

Vitalengwa vikosi vya kambi za kijeshi vya Israel, US na UK vinavyokusudiwa kuundwa kwenye eneo la Ghaza, na eneo hilo kuitwa jina jingine.
 
Vita hizi zimejaa uongo mwingi.
Nilianza kuwapuuza walipokuwa wanalipua magorofa eti wanawalipua hamasi, walipomaliza wakageuka wakasema hamas wamo kwenye mahandaki.

Hakuna gaidi akae gorofani wakatu anajua atakuws target.
Hivi kabisa unajiona wewe unajua kuliko jeshi la Israel?

Kuweza kutype kwa simu hakumaanishi basi kika jambo unalijua.
 
Ishu sio kujua, ishu ni propaganda nyingi zilizo nyuma ya vita vya siku hizi.

Mfano Digital Spokesperson waliyeteuliwa na Netanyahu baada ya shambulizi la Hospital ya baptist alitweet kusifia kilichofanyika baada ya dakika kadhaa kuona reaction ya jumuia ya kimataifa wanalaani akafuta tweet yake na IDF wakasema ni Hamas wamejipiga wenyewe.

Sipingi ila lazima usikilize kila tunachoambiwa critically.
 
Huwezirusha kombora kwenye hispitali iliyojaa wangonjwa MK254 ubongo na vidole vyako havina ushirikiano aka mwizraeli wa kibera

Tatizo hayo magaidi yenu hayana ubongo, yanatumia elimu ya madrassa kama nyie hapo, huyu hapa alipokua anarusha hili kombora akiwa kwenye paa ya hospitali alikua anatumia mavi au akili

77741955-12742815-image-a-48_1699890263978.jpg
 
bila kua na resistance hakuna vita tena hapo...

Ni mwenye nguvu sasa kujizatiti zaid eneo hilo, kujiimarisha, kulisafisha eneo husika, kwa kuchunguza, kufichua na kubaini vitu vya hatari kwa usalama mathalani vilipuzi na sumu halafu kisha kuviharibu visilete madhara na kuanza utekelezaji wa mipangio ya huyo mwenye nguvu alichokusudia kukifanya eneo hilo....

Vita ya Hamasi na Israel havitapiganwa tena ndani ya eneo la Ghaza. Mashambulizi ya Hamasi dhidi ya Israel sasa yatatoka mbali zaid na nje ya Palestine.

Vitalengwa vikosi vya kambi za kijeshi vya Israel, US na UK vinavyokusudiwa kuundwa kwenye eneo la Ghaza, na eneo hilo kuitwa jina jingine.

Na huko huko yatakapotokea kutapigwa shaba pia.....ukituma kombora ujue unawaponza wote walio maeneo unakorushia hilo kombora maana majibu yatakuja muda usio mrefu.
 
Tatizo hayo magaidi yenu hayana ubongo, yanatumia elimu ya madrassa kama nyie hapo, huyu hapa alipokua anarusha hili kombora akiwa kwenye paa ya hospitali alikua anatumia mavi au akili

77741955-12742815-image-a-48_1699890263978.jpg
images (1).jpeg

Hizi ndio nilizoona mimi. Japo sikatai hawawezi kurusha kutokea popote.
Pia kama una Iron dome alafu ulipue gorofa zima lenye familia zaidi ya hata 50 eti kisa kuna hamas mmoja anarusha karocket ka kienyeji sio utu pia.
 
Tafuta MBs utizame videos kadhaa ukianza na hii

View: https://www.youtube.com/watch?v=Qyl0sJVi5rg

vita ni kitu mbaya sana aisee, ni huruma sana
Tuombee amani nchi Yetu Kwa Mungu..

ilikua vita rahisi sana kwa Israel dhidi ya Hamasi, na pia ni vita ngumu mno kwa Hamasi kufua dafu kivyovyote mbele ya Israel. Hamasi walichochewa zaidi na imani, hasira na mihemko kuingia vitani na isarel. Walijipumbaza na kujiaminisha wenyewe kwa silaha nzito chache za kisasa mathalani walizotengeneza wao wenyewe, kununua au kusaidiwa na marafiki zao wa karibu na wenye lengo moja nao dhidi ya Israel.

Hawakufanya tathmini na kujipima vizuri kuikabili Israel kijeshi, bila kujua kwa mazingira yao vizuri....
Handaki ni kama kaburi lako mwenyewe tu..

Huna pa kukimbilia kujinusuru, huna pakutokea kijiokoa majirani na marafiki wa kukuhifadhi na kukusitiri wko mbali na kando mno.....

Thanks for video...
 
Tatizo hayo magaidi yenu hayana ubongo, yanatumia elimu ya madrassa kama nyie hapo, huyu hapa alipokua anarusha hili kombora akiwa kwenye paa ya hospitali alikua anatumia mavi au akili

77741955-12742815-image-a-48_1699890263978.jpg
Pia hii ni propaganda.
RPG launcher launcher ndio irushe kombora hadi Tel aviv.

Bro naona kama tunachanganya mada.
 
Na huko huko yatakapotokea kutapigwa shaba pia.....ukituma kombora ujue unawaponza wote walio maeneo unakorushia hilo kombora maana majibu yatakuja muda usio mrefu.
hicho ndicho kitarajiwacho dhahiri shahiri baada ya hiki...

haijaisha itaendelea kwa namna nyingine kidogo....
 
Punguzeni ushabiki huko wanakopigana hamjulikani wala hamthaminiwi. Hata ukienda mataifa ya wenzetu hao wanaopigana wanapokelewa kwa heshima kuliko wewe mmatumbi unaejioendekeza kisa udini unakisumbua iwe dini ya mudi au dininya yesu mtundikwa wote hamna maana shobo tu zinawasumbua
 
Back
Top Bottom